Sio kweli inategemeana na aina ya soko km ni monopoly sio lazima utafute wateja wanajiletaSijui watu tatizo ni shule au ni nini, kwani kati ya muuzaji na mnunuzi, anayemhitaji mwenzie zaidi ni nani? Si anayeuza? Tafsir ya kuuza ni kwamba wewe una uhitaji, usipokuwa na uhitaji huwezi kuuza.
Russia ktk hili ndio muathirika zaidi, ni vile tu nchini kwake vyombo vya habari vyote vimezimwa kutoa ripoy negative ktk hii inayoitwa operation.
Hawa vijana wanaojiita mashabiki wa putin wanapaswa kutazama hili sakata kwa mapana.
Mfano wa monopoly ni km TANESCO hata wakukatie umeme kila siku lazma utawahitaji
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app