G7 yapiga marufuku ununuzi wa mafuta Urusi

Tatzo pro rusia wengi Wana uelewa mdogo. Kama rusia ni mbabe si akatae kuwauszia kama. Anajitisheleza. Make NATO na USA wao hua wanakupiga burn. Hawakuuzii kabisa. Rusia anabweka lkn anawauzia. Si akatae ili tuone ubabe wake.

Tambua kua uchumi wa Russia ni mdogo mno. Putin akili yote. Uwezo wote kawekeza kwenye jeshi. Hahangaiki kuimarisha uchum

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
asa hua ndo uanaume. unampiga mtu na unampa silaha
 
Hununui mafuta alafu bado Una nunua gesi kutoka kwake kweli western mwaka huu wamepatikana unanunua ngano, mafuta ya Kula, makaa ya mawe, gesi si angeacha kununua vyote tuone kama wao ni jeurii sana
Acha ujuaji
 
Ag

Kwanini Urusi isikataze kuuza chochote hadi G7 wakatae wenyewe tena kwa kuamua kua kitu flani hatununui,Urusi iwe siriasi.
 
Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.

Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.

G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.

Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.

..................................................................................................

Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.

After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.

Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.

Source: Aljazeera

Ninataka kuona hii ligi. Je, ni mafuta tu au na gesi pia? Mbona wanachagua?
 
Na vikwazo vingekua vinaua,Leo hii north Korea,Cuba,Iran na Venezuela zingekua zimekufa.

Si rahisi na haiwezekani nchi kufa. Lakini maisha ya watu huwa magumu sana. Hizo nchi ulizozitaja ni nchi zinazotawaliwa kwa mkono wa chuma na habari hudhibitiwa raia wasijue ukweli wa mambo ya nje wala ya ndani. Serikali hutumia sehemu kubwa ya bajeti (%) kwenye silaha na vyombo vya dola.

Raia wake wengi huhangaika kukimbilia nchi zilizoendelea kama wakimbizi wa kiuchumi. Hakuna mtu toka nchi nyingine anayetaka kwenda kuishi huko.

Inashangaza. Hadi eo hii Warusi wengi hawajui nchi yao iko vitani na Ukraine. Wanajua kuna kikosi kiko kwenye operesheni maalum ya kufagia maNazi na magaidi huko Ukraine. Waliobahatika kuona picha za miji ya Ukraine ilivyobomolewa na maelfu ya maiti za raia wanaambiwa ni kazi ya majeshi ya Ukraine.
 
Urusi inabidi baada ya huu mgogoro aungane na uchina uisaidia afrika isimame kiuchumi na kupata back up ya kutosha maana mataifa yaliyobakia tayari yameanza kupata mbavu mdogo mdogo imebakia tu afrika.

Afrika iache kujitazama kama mataifa madogo madogo bali kama taifa moja kubwa na mataifa madogo kama mikoa au majimbo.

Ni muda muafaka sasa wa kuvimbia mataifa ya kimagharibi wanapokuja na sheria au hoja zao za kulazimishia.

Mataifa ya magharibi yakiongozwa na mnafiki namba moja US yamekuwa kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya kiuchumi kwa mataifa changa kama Tanzania na wengineo kupitia sera zake ambazo huwa na maneno matamu ila matokeo yasiyo na faida siku za mbeleni.

Mkuu achana na hayo mataifa makubwa. Hayawezi wala hayana nia ya kuiletea maendeleo nchi yoyote. Si wajibu wao. Sera zao ni zao kwa ajili yao. Sisi tuna uhuru wa kuwa na sera zetu kwa ajili yetu. Sisi wenyewe tunatakiwa kuwa makini na maendeleo yetu. Mifano tunayo ya maana na ya ovyo huku huku Afrika.

Angalia Mauritius. Angalia nchi za Afrika ya Kaskazini kama Misri na Morocco. Halafu angalia serikali ya weusi (ANC) inachofanya huko Afrika ya Kusini. Angalia nchi kama Equatorial Guinea, Angola, Congo, Cameroon …Tunatakiwa kuwa serious na uchumi wetu. Si kukimbilia misaada ya US, EU, China halafu kuwaita wanafiki. They don’t owe us anything.
 
Unafahamu chanzo cha mzozo huu? Si Russia hataki Ukraine ijiunge na NATO akihofia military base kujengwa Ukraine hasa military base ya US?

Sasa kwa mfano huohuo uliotoa, wa NATO kwenda kuingia mazima Ukraine na kumtoa Putin, umejiuliza kwanini Putin yeye asimpige US ambae ndie anamshawishi Ukraine?

Putin hakutoa onyo kwa taifa litakalosaidia Ukraine kuwa atayaangamiza? Niambie nchi gani ambayo haifahamiki kama inaisaidia Ukraine. Poland amepeleka vifaru ndani ya siku mbili tatu, na ni jiran tu hapo, bado finland n.k uko UK, US, German ndo kabisaaa sasa kwanini asitekeleze kiapo chake?

Hii ni vita, na mpaka inatokea hivi ujue kuwa kuna intelligence zilifanya kazi kwa kujiandaa na matukio haya, NATO walijua ipo siku moto utawaka dhidi ya Russia, na Russia alishajiandaa ipo siku moto utawaka dhidi ya NATO. Sasa hapo unaposema kwanini wasiweke vikwazo dhidi ya gas na mbolea, ni suala la muda tu. Kumbuka nimekwambia kuna taasisi mbili hapo zinachuana.

Unajua mali za mabosi wa russia zilizoshikwa huko nje? Hasara Russia alopata Ukraine umefatilia? Russia angekuwa yeye anajua ameshika maisha ya NATO hata kwa 80% tayari na yeye angeshatia vikwazo kwa NATO.

Kitendo ch Putin kutoa tamko la kuzima vyombo vya habari kuripot mambo negative kuhusu operation, kumefanya mambo mengi ya ajabu yanayotokea russia yasifahamike moja kwa moja, ila huko pia mambo ni mabaya. Moscow imepoteza ajira 200,000, laki mbiliiiii baada ya mataifa ya NATO kufunga makampuni yao hapo.
Solomon island china inataka kujenge base ya kijeshi Kwa nini USA na AUS hawatishii kumpiga China bali Solomon, China kwa sababu ndio anamshiwishi?.

Alitoa onyo kwa nchi itakayoingiza majeshi yake kumsaidia Ukraine, na kwa atakaetuma silaha basi pindi zifikapo ndani ya mpaka wa Ukrein ataziangamiza silaha hizo nandicho anachofanya, kama kweli walitaka kumsaidia Ukraine basi waingize majeshi Ili tuone kweli wanalengo lakumsaidia, kwa sasa wanachofanya nikumhochea kwa lengo la makampun yao kufanya biashara ya silaha.

Wengeweka vikwazo kwenye vitu muhimu tungewaonq wanamaana, lakini kufunga kampuni zinazouza burger, Coca-Cola na nyinginezo za dizain hio niujinga na upumbavu, kwa nini wasigome kununua gas, mbolea na madini mengine ambayo yanachangia zaid ya 40% kwenye pato la RUSSIA, Ili kumsaidia UKRAINE Ili Russia idhoofike kiuchumi kwa kasi ya 4G?. Lakini hawawez kwa sababu nchi yenye uchumi mzuri west ni GERMAN ambayo inategemea gas kutoka Russia kwa zaid ya asilimia 48% kuendeshea viwanda .

Malii zilizoshikwa za urusi kiujumla pamoja na oligarchy wa urusi hazizid Dola bill 500, Huku urusi ikishikilia Mali za watu wa USA na NATO zaidi ya Dola bill 680, na kwa kuonesha Hilo nchi ya Russia imeshikiria pia zaid ya ndege 400 za wanachama wa NATO, nahuku nchi hizo zikilia urusi kaua sekta ya utalii nchini mwao maana ndege hizo ndio walikuwa wanazitumia kwa kiwango kikubwa na wanampigia magoti atziachie ndege hizo.

Kitendo Cha nchi za Ulaya na Marekan kupiga marufuku na kufungia vyombo vya habari vinavyozungumza mambo positive nchini mwao kuhusu urusi, kimepelekea kwa wananchi wengi kutopata habari za ukweli kuhusu yanatokea Ukraine ndani ya nchi zao Hilo pia nisawa walichofanya urusi kama urusi ingefungia vyombo vyake halafu NATO wakiviacha vyombo vyao viwe huru unalolizungumza kuhusu vyombo vya habari halina mantiki kwasababu limefanywa na nchi zote, Moscow kupoteza ajira laki 2 niimpact ya Vita , lakini je umejiuliza UKRAINE na NATO wamepoteza ajira kiasi Gani?. Je maandamano ya ndani za nchi west kupiga upandaji wa bei za mafuta yanaleta picha Gani?.

Mwisho.

Licha ya nchi hizo kusaidia UKRAINE kwa silaha kama unavyosema lakini hakuna hata eneo Moja ambalo liko chini ya urusi walilokomboa ,pia urusi bado inaadvance kwenda mbele zaidi, jiulize kwa nini hilo linatokea licha ya silaha zote, kama wanataka kumzuia mrusi basi wapeleke majeshi Ukraine Ili wanachotaka kitokee, tofauti na hivyo wapo wanafanya biashara ya silaha .

NATO+USA=RUSSIA.
 
Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.

Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.

G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.

Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.

..................................................................................................

Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.

After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.

Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.

Source: Aljazeera
Ni upunbavu tu wa kuwapumbaza Ukraine hakuna chamaana hapo , unaposema nataifa ya nato yameweka vikwazo ndio hayo hayo yapi G7 ,Kama Ujeruman ufaransa hawawez kuishi bira ges na mafuta ya mrusi kwahiyo wabachofanya kuchukua tension mitandaoni hakuna uhalisia ktk utekelezaji ,watanunu tena kwa ruble [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sijui watu tatizo ni shule au ni nini, kwani kati ya muuzaji na mnunuzi, anayemhitaji mwenzie zaidi ni nani? Si anayeuza? Tafsir ya kuuza ni kwamba wewe una uhitaji, usipokuwa na uhitaji huwezi kuuza.

Russia ktk hili ndio muathirika zaidi, ni vile tu nchini kwake vyombo vya habari vyote vimezimwa kutoa ripoy negative ktk hii inayoitwa operation.

Hawa vijana wanaojiita mashabiki wa putin wanapaswa kutazama hili sakata kwa mapana.
Sio kutoa report negative sema West nao wanataka wananchi wao wasikie yale wanayoyataka wao juu hili ili kusiwe na paniki miongoni mwao.

Nilikuwa naangalia taarifa moja wapo ya west, mtoa taarifa anadai kuwa inachokifanya Russia kwa Ukraine ni sawa nawewe mwanamke au mwanaume uwe na EX wako alafu awe anataka kukuchagulia mchumba!

Hoja hii na mfu kwasababu pale kinachoangaliwa na issue za kiusalama wa inchi, kwenye maslahi ya inchi wenzetu wako makini mno na ndiyo maana kuna waafusa wa kijeshi wastaafu walishawahu kuionya NATO kuwa kujitanua kwao kuelekea mashariki, kutafanya eneo hilo lisiwe la amani.

Nakupa sababu! Si Urusi wala US atakaependa mwenzie amsogelee lakini zote sababu za kiusalama tu!

October 1962 kulikuwa na ushirikiano mkubwa sana kati ya USSR na CUBA, ushirika huu ulipelekea USSSR ipeleke siraha za maangamizi huko CUBA, Marekan alipojua aliiambia CUBA kwa usalama wake asingependa kuona USSR akiweka siraha za maangamizi pale karibu yake hivo Marekan akatishia kuivamia CUBA, Hapo Cuba akaamua wasitishe project yao na USSR ya kuleta siraha hatari karibu na Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Japan alijikutaje humo..?[emoji23]

Huko ndo kuingia mkenge Sasa!!
Japan ina uchumi mkubwa sana, Japan mda mrefu alipiga hatua ya Tecnolojia ila USA mara baada kuipaga na Atomic Bomb pale Hiroshima ndiyo wakaingia mikataba kuwa asiendeleze siraha zake mpaka apate idhini ya USA.

Ukiangalia mfumo aliujenga Marekani ni kuwa mataifa yawe yanamtegemea yeye! Yeye anaweza unda siraha zozote bila kuulizwa na mtu na asifatiliwe ila wakiunda wengine hataki cos anaona kabisa ikosiku mtakorofishana na utamchapa nazo, ila siraha zako zikiwa hafifu anajua utamhofia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.

Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.

G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.

Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.

..................................................................................................

Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.

After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.

Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.

Source: Aljazeera
Putin ameshazamisha kitu kizito nyuma yao wanaimba tu sshv
 
Japan ina uchumi mkubwa sana, Japan mda mrefu alipiga hatua ya Tecnolojia ila USA mara baada kuipaga na Atomic Bomb pale Hiroshima ndiyo wakaingia mikataba kuwa asiendeleze siraha zake mpaka apate idhini ya USA.

Ukiangalia mfumo aliujenga Marekani ni kuwa mataifa yawe yanamtegemea yeye! Yeye anaweza unda siraha zozote bila kuulizwa na mtu na asifatiliwe ila wakiunda wengine hataki cos anaona kabisa ikosiku mtakorofishana na utamchapa nazo, ila siraha zako zikiwa hafifu anajua utamhofia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu uchumi wa Japan ni mkubwa swala naloshangaa huyu mu Asia kaingiaje mkenge huko mbona wa Asia wenzake wanakariba tofauti sana! Au palipandikizwa nini..😅
 
Tatzo pro rusia wengi Wana uelewa mdogo. Kama rusia ni mbabe si akatae kuwauszia kama. Anajitisheleza. Make NATO na USA wao hua wanakupiga burn. Hawakuuzii kabisa. Rusia anabweka lkn anawauzia. Si akatae ili tuone ubabe wake.

Tambua kua uchumi wa Russia ni mdogo mno. Putin akili yote. Uwezo wote kawekeza kwenye jeshi. Hahangaiki kuimarisha uchum

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app

Hiki ndicho wasichoelewa vijana wetu wengi. Nchi ambayo sehemu kubwa ya uchumi wake inategemea mauzo ya maliasili (mazao ya kilimo, mafuta, gesi, madini) hadhi yake kiuchumi inakaribiana na ya dunia ya tatu. Hata huko ghuba wanapambana kupunguza asilimia ya utegemezi kwenye mafuta. Maendeleo makubwa yako kwenye teknolojia, sekta ya huduma na viwanda vya kisasa.

Urusi bado wamekwama kwenye “Soviet era” economy. Nguvu yao bado iko kwenye silaha za nyuklia, jeshi kubwa, biashara ya silaha (conventional), mashamba makubwa na viwanda vya kisoviet.

Marekani yenye mafuta na gesi nyingi duniani ni kama imeipumzisha hiyo sekta. Hata haijulikani. Badala yake inaongoza kwa teknolojia na mitandao mikuu ya huduma za biashara, uwekezaji na fedha duniani. China inafuatia kwa nguvu kuingia maeneo hayo. Urusi bado ina malengo ya kisoviet ya kutaka kurejesha himaya ya kirusi mithili ya USSR au Russian empire kwa mkakati wa vita! It won’t work dunia ya leo.
 
Nafahamu uchumi wa Japan ni mkubwa swala naloshangaa huyu mu Asia kaingiaje mkenge huko mbona wa Asia wenzake wanakariba tofauti sana! Au palipandikizwa nini..😅
Labda japani yupo kwenye g7
 
Back
Top Bottom