Gaaadeemm!!!..Hebu muangalieni 50 Cent alivyokata weight kwa sababu ya filamu.

Gaaadeemm!!!..Hebu muangalieni 50 Cent alivyokata weight kwa sababu ya filamu.

nimeipenda avatar yako
na avatar ya babukijana
 
Watu wako makini na kazi zao! i wouldn't have known thats 50!
 
214 to 160 pounds in just 9 weeks??? (liquid diet and 3hrs working hrs daily........tchaaaaaaaaa)
anaonekana kama mzimu!!! (kweli he looks sick......hiyo character imem-fit )

Kama amekonda sababu ya zoezi la picha tu tusubiri kuona mfumuko wa mwili within no days atakapocompesate kwa nyama choma na mtori wa kwao.
Inaonyesha anajituma ilvyo hasa. Sio selule ambaye si mgonjwa.
 
Daah! kama getting rich or die trying ndio hivi basi ni haki yake awe milionea.
 
Hongera zake kutoka 214 pounds to 160 kwa 9 weeks sio kazi ndogo.
 
Sasa kama hiyo movie itakuwa 'box office failure' itakuwaje au mzee ukishapokea cha usumbufu inakuwa haikuhusu tena?
 
Movie yenyewe nasikia haitaoneshwa kwenye majumba ya sinema...itaenda moka kwa moja kwenye dvs

Nilidhani kujikondesha namna hiyo ni kwa ajli ya movie yenye script kali, kumbe movie yenyewe ni straight to DVDs , ina maana imeshauliwa na movie critics kiasi cha kutoswa kwenye movie cinema?
 
Nilidhani kujikondesha namna hiyo ni kwa ajli ya movie yenye script kali, kumbe movie yenyewe ni straight to DVDs , ina maana imesha uliwa na movie scritics kiasi cha kutoswa kwnye movie cinema?

Wengine wana misimamo thabiti hizi movie za kunenepa, kukonda kupita kiasi au kucheza uchi huwa wanazikwepa kwa mbali tu. Nakumbuka Angela Basett alikataa kucheza katika "Monster's ball" kwa sababu aliona ni kama kujidhalilisha kucheza sinema ile na Halle Berry akaichangamkia baada ya Bassett kuikataa na kushinda Oscar.

Angela Bassett alipoulizwa kama amefanya makosa kuikataa movie ile maana angeshinda Oscar, akajibu "kama siwezi kushinda Oscar mpaka nicheze role ambayo najiona najidhalilisha basi sina haja yoyote ya kushinda Oscar." Alinifurahisha sana na jibu lake....sijui hata kwa nini wameamua kuipeleka hii moja kwa moja kwenye DVD sijui kama itarudisha hata budget. Jamaa angejua toka mwanzo kwamba ni DVD movie sidhani kama angekuwa tayari kujitesa kiasi hicho.


 
Big up 50!

Hii ni elimu muhimu sana kwa akina ze greti na mwenzie ze gretesiti kuhusu kuwa msanii; ni committment na sio mizaha wanayotufanyia hapa!

Kweli hawa jamaa watatufunik a daima; sasa kwa advert hii tu nani hatatamani kuona nini kimo kwenye hiyo movie? Big up sana mnyamwezi 50! Toka aliponikonga na get rich or die tryin' mie namkubali sana msanii huyu!
 
FIFTY-CENT-WEIGHT-LOSS.jpg

FIFTY-CENT-WEIGHT-LOSS.jpg

Before:
FIFTY-CENT-WEIGHT-LOSS.jpg



Jamani haya ni maandali ya movie yake mpya!!
 
hi title si ya kile kitabu cha Chinua Achebe;
====>Okonkwo & Ikemefuna well-known in Umuofia
========>Umofia Kwenyu
 
Back
Top Bottom