Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kama ku ''lose weight'' ndo vile, bora niendelee kutunza kitambi changu!
That's too much banaaaa
That's too much banaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ku ''lose weight'' ndo vile, bora niendelee kutunza kitambi changu!
That's too much banaaaa
Analoose kwa ajili ya movie inayoitwa Things Fall Apart lakini haihusiani na kitabu cha jina hilo hilo. Anacheza cancer patient kwenye movie.
Christian Bale naye alifanyaga kwenye The Machinist
![]()
Mimi nimeipenda avatar yako ndo nzuri sanaJamani huyo mkaka simpendii!!
...Dah! Sasa kama huyu Cristian Bale kwa mtindo huo hata kama ndio kazi mbona noma sana utadhani mgonjwa wa ngwengwe!!!:yuck:Unapoamua loose weight kama hivi inabidi uwe umecheck afya kama imesimama maana mzee kama ndo tayari na ukawachokoza wale VVU, ndo safari kwa baba inakuwa imewadia
That shows jinsi wenzetu walivyo serious na kazi zao, bongo ukiambiwa konda unanenepa, ukiambiwa nenepa basi unavimbisha tumbo tu
Mimi sijaelewa kwani ukikonda na TATOO zinakonda? Mbona sizioni maana alikuwa na tat's mkono wote wa kulia kuanzia begani mpaka juu kidogo ya sehemu ya kuvalia saa.
Ila kwa kweli pesa ilimfanya mbwa kucheza
Jamani huyo mkaka simpendii!!