Gabon: Benki ya Dunia yasitisha Mikopo na Ruzuku baada ya Serikali kushindwa kulipa Madeni ya awali

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Benki ya dunia imesimamisha haki ya Gabon kupewa mikopo na ruzuku kuanzia Julai 1 kutokana na kushindwa kulipa madeni yake ya zamani, barua ambayo Reuters imeiona imethibitisha hilo Jumatano.

Taifa hilo la Afrika ya kati kwa sasa linalipa takriban mikopo 11 ya Benki ya dunia, kulingana na tovuti ya benki hiyo.

============

LIBREVILLE, Gabon, July 3 (Reuters) -The World Bank has suspended Gabon's right to make loan and grant withdrawals from July due to nonpayment of outstanding obligations, a letter seen by Reuters showed on Wednesday.

The Central African country is currently repaying at least 11 World Bank Group loans, according to the bank's website. The World Bank has agreed to loan or grant Gabon more than $1 billion since 2012, disbursing more than $700 million.

The bank said in the letter that overdue payments totalled around $17 million as of June 30.

A World Bank spokesperson said it was regrettable that an official letter had found its way to the media. The suspension of disbursements is a procedure provided for in financing agreements, the spokesperson said.

"In the case of Gabon, we are confident that the authorities will take steps to regularize the situation as soon as possible," the spokesperson said in a statement.

Active World Bank projects in Gabon include public health, skills development and statistics projects, according to its website.

A junta seized power in Gabon in August last year, ousting President Ali Bongo. It was the eighth coup in three years in the West and Central African region.

The ministry of public accounts said the government had been informed about the World Bank's decision and that the payment delay was due to technical reasons.

The ministry "has already paid these outstanding debts, and all outstanding debts to other multilateral creditors are in the process of being paid and should be completely cleared within the next few days," it said in a statement.

It added that the transition government had inherited considerable debt and has taken necessary steps to resolve this.
 
Kama wana Madini au Ardhi nzuri waweke Dhamana
 
Hayo madeni yoote pesa zililiwa na kina Yahhya Jameeh na majeshi yake yaliyokuwa yanamlinda enzi zake akiwa The Doni
 
Mimi nazishangaa hizi nchi za Afrika sijui zina laana gani, yaani nchi kama Gabon yenye watu hata hawafiki milioni 3 na mafuta wanazalisha kibau hivi wanashindwaje kulipa deni..❓

Upumbavu mkubwa tulioufanya Afrika ni kudai uhuru wakati hatuna karama ya uongozi sisi ni watu tuliotakiwa kutawaliwa milele na wakoloni leo hii nchi zetu zingekuwa Heaven On Earth.
 
Hahaha
 
Nikama jirani yako kakuibia ng'ombe kiss baba yake ni karani mahakamani

na wewe uka mwazima ng'ombe na kuahidi kumludishia

lakini usimlipe kisa baba yako ni hakimu mahakamani

Na jirani huyo huyo akatangaza kuto kuku azimisha Tena ng'ombe kwasababu wewe hauludishagi ngombe ukiwa azima"

wakati huohuo huyo ng'ombe aliye kuazima alikuibiaga wewe mwenyewe 😂😂

Hiyo Ina itwa sawa kwa sawa
 
Mfano wako hauna mantiki yoyote hapa na ni upuuzi mtupu, Afrika ni laana tu hamna kitu. Period.
 
Mimi nazishangaa hizi nchi za Afrika sijui zina laana gani, yaani nchi kama Gabon yenye watu hata hawafiki milioni 3 na mafuta wanazalisha kibau hivi wanashindwaje kulipa deni..❓

Upumbavu mkubwa tulioufanya Afrika ni kudai uhuru wakati hatuna karama ya uongozi sisi ni watu tuliotakiwa kutawaliwa milele na wakoloni leo hii nchi zetu zingekuwa Heaven On Earth.
Mkuu siyo Gambia Yahya Jameh ni Gabon ya Omar Bongo.

Yani inasikitisha nchi tajiri yenye raia wachache na mafuta, misitu na almasi.

Ila familia ya Omar Bongo na aliyekuwa rais wa ufaransa Jacques Chirac waliifilisi Gabon.
 
Muhimu kuvumilia tu maana hali zetu hazielezeki kuna mahali tuna tatizo kubwa sana hatujijui tu.
 
Back
Top Bottom