Gabon: Benki ya Dunia yasitisha Mikopo na Ruzuku baada ya Serikali kushindwa kulipa Madeni ya awali

Mkuu siyo Gambia Yahya Jameh ni Gabon ya Omar Bongo.

Yani inasikitisha nchi tajiri yenye raia wachache na mafuta, misitu na almasi.

Ila familia ya Omar Bongo na aliyekuwa rais wa ufaransa Jacques Chirac waliifilisi Gabon.
Mimi sijaongelea Gambia labda umesoma ukiwa na stress.
 
Hizi Nchi za Afrika ni fukara sana, na Hawa Wana Mafuta kabisa sijui wanakwama wapi.
Inawezekana viongozi wao wanayanywa kama juice same kwetu umeshawahi sikia gas ya mtwara inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa zaidi zaidi utasikia tuweke tozo kwenye simu🤣🤣🤣🤣africaaa ni nyokooo
 
Yaani Wameshindwa kulipa Bil.40? 😂😂😂😂

Ufukara uliopitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…