The atlantic
JF-Expert Member
- Aug 1, 2023
- 390
- 670
Hivi kupindua serikali ni kumuondoa rais kwenye kiti chake ukakikalia hapo hapo jeshi la nchi linakuheshimu na kukupa ulinzi au ni Nini huwa kinafanyika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiKibaya zaidi hao wanajeshi inakuwaga nguma sana kuwaondoa madarakani, yaani akiingia kwa mapinduzi basi mjue mmepata rais wa maisha.
Ooh!.. kumbe kuna chuki dhidi ya familia ya Bongo tu ?....huyo jamaa atamlinda vyema binamu yake.Halafu nyie msiojua mambo,mjue kuwa pale Gabon hakuna chuki dhidi ya Ufaransa.
Mrembo kwani huwezi kuweka mambo sawa bila kututuhumu kua hatujui mambo?Halafu nyie msiojua mambo,mjue kuwa pale Gabon hakuna chuki dhidi ya Ufaransa.
Poti acha figisu.Tanzania ina amani ni vile wananchi wake ni ndiyo mzee.Ndoho taabu.
Sawa sawa usemayo ,hayo mapinduzi ya kifamilia ,tabu kwa wananchi iko pale paleYap,sema kamsagia kunguni mtoto wa Ali .
Na sioni watu wakihoji hiliKabisa,maana kama Bongo kaiba kura kwa nini wanajeshi wasimpe ushindi yule mpinzani wa Bongo kwenye uchaguzi?
Hahaha CCM wote wata harisha damu.Wanajeshi saba wamefanya mapinduzi huko gaboni sisi sijui tunakwama wapi
Mimi naamini kikosi kimoja tu nchi hii kikitangaza kufanya mapinduzi hakuna mwanajeshi atayeendelea kulinda utawala huu
Hata hivyo usaliti ukishaanza hivi ,hauishii hapoNilitaka kushangaa kwamba familia ya Bongo ikae madarakani miaka mingi halafu iwe haijaweka ukoo wao madarakani!? Ile Gabon ni mali ya ukoo wa Bongo, hakuna jipya
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app