Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay amezidiwa sekunde chache na Mkenya na kuwa kwenye nafasi ya pili, kilomita 10 kwa muda wa dakika 27:43 ambapo ni muda bora kuliko wa siku chache zilizopita alizokimbia Boston B.A.A 10K na kutumia muda wa dakika 27:49.
Mashindando hayo yamefanyika Atlanta Georgia nchini Marekani leo tarehe 4/07/2023 ,mbio hizo zinakwenda kwa jina la “The Atlanta Journal-Constitution Peachtree Road Race” zilikuwa za ushindani mkubwa.
Tatu bora ni Mkenya, Mtanzania na Muethiopia.
Pia soma: Mwanariadha Gabriel Geay wa Tanzania awa tishio mbio za Boston marathon 17 April 2023