The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Hahaaaa itabidi rushwa itumike..Washindi watatu watakaoingia fainali ntawapeleka kwa mkemia mkuu wa serikali kuwapima vinasaba vya umri...bora umenistua mapema...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa itabidi rushwa itumike..Washindi watatu watakaoingia fainali ntawapeleka kwa mkemia mkuu wa serikali kuwapima vinasaba vya umri...bora umenistua mapema...
Hahaaaa itabidi rushwa itumike..
Hiyo rushwa umpe nani?
Labda Mkemia mkuu...mimi sipokei rushwa...niko after quality maana niki bugi ntakuwa nimejikomoa mwenyewe...
Kwa mkemia huko...Hahaaaa
Unapenda kumeza I guess..Wengine hawawezi .
I am just too curious about this swallowing business! Hivi inamsaidiaje mwanaume? I mean, like inamfanya ajisikie kupendwa zaidi ama? Well, you dont have to answer this best hahaha
The Boss alishinda miaka ya nyuma...contract inakaribia kuisha; ndio nimeadvertize hivo...
ndio namwambia umri unaweza kumleti dawni...
Maana kwa ushauri wa Gabrielle the man should be real young...huyu the Boss keshakula chumvi nyingi...
meza bana, unalamba chumvi na limao kama imekula 'muscles'
Yummy!!
I am younger...date me...Hahaaaa..
Anakunywa galoni la lita ngapi? 5 au 20? Maana nafikia kuongeza toka lita 3 za sasa......
Muambie nyumba kubwa hapo, mie siri ya wide hips and side behind ni hiyo. Na situmii limbwata, ukiona paw ananifulia kofuli na kuniletea supu in bed ndo hapo hapo. Tena ukiwa na cherries hapo unatafunia kabisa.
by the way, it also keep yourteeth stronger. Google that at your own risk
Anakunywa galoni la lita ngapi? 5 au 20? Maana nafikia kuongeza toka lita 3 za sasa......
A gallon ni lita 5.
Hehehe chezeiya kulook younger? Fanya mazoezi you will feel younger bwana, woooi!
If only all women were looking like that at 40.