T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Elezea kafanyiwa nini
Ashasema Waafrika tabia zetu zimekaa kinyani.Mkuu sisi hatukuwepo wala hatujasikia ingekua vyema sana kama ungetueleza hapa
Hapo hajaandika kitu ili tumpigie magoti, tumbembeleze atuelezee ajisikie naye bingwa. Unyani ndio kama huo sasa.