Gachagua alilazimika kukimbia baada ya kundi la wahuni kuvuruga mazishi ya Limuru, watu kadhaa wajeruhiwa

Gachagua alilazimika kukimbia baada ya kundi la wahuni kuvuruga mazishi ya Limuru, watu kadhaa wajeruhiwa

NILIWAHI KUSEMA MH HUWA ANA WEKA MAMBO MOYON

GACHAGWA LEO ALIKUWA MSIBAN GAFLA WAKAPELEKWA WAHUNI WAKAFANYA FUJO KWA ALIEKUWA NAIBU DEPUTY

INATIA AIBH MAGARI YA NDUGU WA MWENDA ZAKE WASIO NA HATIA WAMEYAAHARIBU KISA CHUKI ZAKO NA X DP

HII N AIBU YA MWAKA NA KAMA MTAENDELEZA HII UJUE HATA WEWE KANISANI WATAKUKIMBIZA KAMA WALIVYOMKIMBIZA X DP

Hawatakuachaaaa mh

We ndie wa kukataa chuki na visasiii else mtaliaa 2027

SHIKA NENO
TENDA NENO
 

Attachments

  • VID-20241129-WA0024.mp4
    32.5 MB
Hii vita unayoianzisha mwisho wake n mbaya sanaa
 
2027 Riggy G atachafua sana. Huwezi deal na the Son of Mau Mau kwa cheap politics kama hizi
 
Back
Top Bottom