Ila kwa pesa alizoiba. Hizo stahiki ni chenji Tu.Kiburi chake kilimponza
Ila anaweza kushitakiwa unless otherwise waamue kumshitIla kwa pesa alizoiba. Hizo stahiki ni chenji Tu.
Huu ni uchafu kwa Gachagua...Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu.
1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000.
2. Malipo ya mkupuo Ksh 8.2m.
3. Posho ya mafuta Ksh. 108,0000(?).
4. Gari 2 (saloon cars).
5. Gari 4WD (1).
6. Msaidizi wa ofisi (PA).
7. Mlinzi mwenye silaha.
8. Madereva watatu.
9. Mhasibu (1).
10. Wafanyakazi wa ndani (2).
11. Wafanyakazi wasaidizi (support staff).
12. Wafanya usafi (2).
Ndo maana mawakili binafsi 20. Pesa inaongea. Hospitali KarenHuu ni uchafu kwake,, utajiri wake hadi anaenda bunge la seneti kwa pesa za kitanzania alikua na utajiri wa Bilioni 109.
Mwenyezi mungu atatulipia wala tusichoke kumuomba .........waache waishi na kutumia watakavyo ila mwisho upo.........kire ambacho kinaumiza ni kuona wanavyojitoa ufahamu kwamba watu wasipate stahiki zao eti watatumia vibaya ilihali wao wanatapanya mali hovyo hovyoGachagua Is filthy rich, ana mahela sana hizo pesa Wala sio chochote kwake
Ila kwa upande mwingine, waafrica akili zetu sijui ziko wapi, mtu anastaafu analipiwa mpaka mafuta na kubadilishiwa magari, yaani uongozi unakua kama ufalme, ila sisi Wanatuambia penshen zetu watatupa kwa awamu, wameleta kikokotoo kwamba tukipewa kwa pamoja tutazichezea😃😃
Fikiria mtu kama kikwete na utajiri wote ila Kila kitu serikali inamlipia mpaka mafuta ya gari, na mke wake tofauti na ubunge analipwa pensheni ya mke wa rais mstaafu, what a joke
Nina bilioni 109 nina shida gani, hata huyo rais atakua mavi tu na atamsumbua kweli hii ngoma bado mbichi sana..Ndo maana mawakili binafsi 20. Pesa inaongea. Hospitali Karen
Gachagua mwepesi kama takataka tuNina bilioni 109 nina shida gani, hata huyo rais atakua mavi tu na atamsumbua kweli hii ngoma bado mbichi sana..
Tanzania hakuna wa kukufukuza, waanaandika barua ya kujiuzuru kwa niaba yako halafu stahiki zote unaenda nazo.Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu.
1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000.
2. Malipo ya mkupuo Ksh 8.2m.
3. Posho ya mafuta Ksh. 108,0000(?).
4. Gari 2 (saloon cars).
5. Gari 4WD (1).
6. Msaidizi wa ofisi (PA).
7. Mlinzi mwenye silaha.
8. Madereva watatu.
9. Mhasibu (1).
10. Wafanyakazi wa ndani (2).
11. Wafanyakazi wasaidizi (support staff).
12. Wafanya usafi (2).
Wanasiasa ni wabinafsi sana,wanajipakulia minyama tuGachagua Is filthy rich, ana mahela sana hizo pesa Wala sio chochote kwake
Ila kwa upande mwingine, waafrica akili zetu sijui ziko wapi, mtu anastaafu analipiwa mpaka mafuta na kubadilishiwa magari, yaani uongozi unakua kama ufalme, ila sisi Wanatuambia penshen zetu watatupa kwa awamu, wameleta kikokotoo kwamba tukipewa kwa pamoja tutazichezea😃😃
Fikiria mtu kama kikwete na utajiri wote ila Kila kitu serikali inamlipia mpaka mafuta ya gari, na mke wake tofauti na ubunge analipwa pensheni ya mke wa rais mstaafu, what a joke
Huruma nzuri. Kwa nini watu wafukuzane kama wanyama!? Tanzania watu wake wanahekima.👍🏼Tanzania hakuna wa kukufukuza, waanaandika barua ya kujiuzuru kwa niaba yako halafu stahiki zote unaenda nazi.
Hata ukifukuzwa bado stahiki utaenda nazo hadi kaburini, hata kaburi litapewa ulinzi.
Sheria ipo hivyoHuruma nzuri. Kwa nini watu wafukuzane kama wanyama!? Tanzania watu wake wanahekima.👍🏼