Gachagua amepoteza stahiki za N/Rais Mstaafu (kwa kufukuzwa kazi na Senate)

Nadhani jamaa hajui siasa kabisa
Mm aliposhupalia eti kujitetea nilijua amenunua wabunge kumbe hajui Raila ni mnafiki alishauza upinzani sasa kapigwa na hata mahakama itamtosa tu
Hakufanya kwa ajili ya kushinda. Subiri 2027 utagundua ni kwa nini aliamua kufanya alivyofanya. Unafikiri Ndondo Nyoro ni mjinga kukaa kimya? Kikuyus never forget and they never forgive. Raila is not a trusted ally. Ask Uhuru, Kalonzo or Kibaki. Also go and ask Moi they all know his treacherous he can be. He won't stay long with Ruto. Wait and see!
 
Kenya nawaelewa sana. Gacha yupo kwenye TV anamchana Rais, wala hamna shida! Anasema akifa leo aulizwe Ruto.

Njoo huku kwetu. Tunaishi enzi za ukoloni
 
Ila kwa pesa alizoiba. Hizo stahiki ni chenji Tu.
Baada ya impeachment kukamilika atashitakiwa Kwa ufisadi..Baada ya kura za Maoni bungeni alipashwa kujiuzuru na kuwatafuta wazee wa katibu na Ruto waombe mambo yasiwe mengi..kushupaza kwake shingo ndio anguko lake kuu. I bet at last ataitafuta nafasi ya kutengeneza na Ruto
 
Hakufanya kwa ajili ya kushinda. Subiri 2027 utagundua ni kwa nini aliamua kufanya alivyofanya. Unafikiri Ndondo Nyoro ni mjinga kukaa kimya? Kikuyus never forget and they never forgive. Raila is not a trusted ally. Ask Uhuru, Kalonzo or Kibaki. Also go and ask Moi they all know his treacherous he can be. He won't stay long with Ruto. Wait and see!
Ruto ni mwamba Raila akijaribu kitaumana. Kuna tetesi Gachagua alitaka kumuondoa kwa kiti kupitia Genz
 
Gachagua atulie. Angetafuta hata safari ya kwenda Kupumzika Venice au Swiss kama mwezi hivi
 
Ruto ni mwamba Raila akijaribu kitaumana. Kuna tetesi Gachagua alitaka kumuondoa kwa kiti kupitia Genz
Vyovyote vile but Mt Kenya will not back him in 2027. Raila is not a trusted ally and if it happened he died I don't think Orengo, Sifuna, Gladys will just hand over ODM to him. Without Kikuyu he has a very steep road to re-election. Those people tend to vote to the last one and they vote as a block. He could surely sidelines him while keeping him at his job.
 
Hakufanya kwa ajili ya kushinda. Subiri 2027 utagundua ni kwa nini aliamua kufanya alivyofanya. Unafikiri Ndondo Nyoro ni mjinga kukaa kimya? Kikuyus never forget and they never forgive. Raila is not a trusted ally. Ask Uhuru, Kalonzo or Kibaki. Also go and ask Moi they all know his treacherous he can be. He won't stay long with Ruto. Wait and see!
Uko sahihi. Siasa za Kenya alizielezea vizuri sana mwandishi wa habari wa BBC juzi. Alisema siasa za Kenya ni kama zimekaa kama kwenye active volcano ambayo tectonic plates zake zinasogea muda wote.
 
Ruto won't believe what hit him. The Kikuyus have not forgotten the blood oath they took against Odinga Sr more than 50 years ago. How will they forgive this betrayal? Read the mood and see how Ndindi Nyoro actual went silence.
I bet Ruto will go and ask forgiveness to Uhuru. Now Uhuru will just have to whip and say, I told you so! He is not one you could trust easily.
 
Back
Top Bottom