Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 156
- 296
Muammar Gaddafi hakuuwawa eti sababu ya utajiri wake. Kilichomuua Gaddafi ni dini. Ukweli ni kwamba nyuma ya misaada mingi aliokuwa anaitowa Gaddafi kulikuwa na agenda ya siri ya kueneza dini ya kiislamu afrika Nzima Kisha aiunganishe yote Iwe under Islamic empire huku akiwa na Nia ya siri ya kupora watu weusi Ardhi Yao kwa kisingizio cha muungano na Taifa Moja. Watu walimshtukia. Wakaandaa mpango wa kumteketeza. Na ndio maana kipindi anapigwa viongozi wenzie wote walikaa pembeni bila kuingilia.