Gaddafi hakuuwawa sababu ya mafuta.

Gaddafi hakuuwawa sababu ya mafuta.

Muammar Gaddafi hakuuwawa eti sababu ya utajiri wake. Kilichomuua Gaddafi ni dini. Ukweli ni kwamba nyuma ya misaada mingi aliokuwa anaitowa Gaddafi kulikuwa na agenda ya siri ya kueneza dini ya kiislamu afrika Nzima Kisha aiunganishe yote Iwe under Islamic empire huku akiwa na Nia ya siri ya kupora watu weusi Ardhi Yao kwa kisingizio cha muungano na Taifa Moja. Watu walimshtukia. Wakaandaa mpango wa kumteketeza. Na ndio maana kipindi anapigwa viongozi wenzie wote walikaa pembeni bila kuingilia.
💩
 
Hawawezi kukuelewa Hawa wapenda maneno ya kusikia

Cha kuongezea tu pia udikteta ulimponza
 
Somalia hawakuwa na mpango wa kusilimisha Afrika nzima. Gaddafi alikuwa na mpango wa kuisilimisha Afrika nzima na zote ziwe Chini yake under Islamic law.
Libya isingewekewa zengwe bila kuwa na rasilimali mzee. Mbona Somalia hawana mpango napo? Au dini Somalia hamna?
Sha
 
Muammar Gaddafi hakuuwawa eti sababu ya utajiri wake. Kilichomuua Gaddafi ni dini. Ukweli ni kwamba nyuma ya misaada mingi aliokuwa anaitowa Gaddafi kulikuwa na agenda ya siri ya kueneza dini ya kiislamu afrika Nzima Kisha aiunganishe yote Iwe under Islamic empire huku akiwa na Nia ya siri ya kupora watu weusi Ardhi Yao kwa kisingizio cha muungano na Taifa Moja. Watu walimshtukia. Wakaandaa mpango wa kumteketeza. Na ndio maana kipindi anapigwa viongozi wenzie wote walikaa pembeni bila kuingilia.
Ficha ujinga wako
 
Kwa Waislam wanaojua Uislamu wasema Ghadhafi hakuwa Muislam kivileee
 
Muammar Gaddafi hakuuwawa eti sababu ya utajiri wake. Kilichomuua Gaddafi ni dini. Ukweli ni kwamba nyuma ya misaada mingi aliokuwa anaitowa Gaddafi kulikuwa na agenda ya siri ya kueneza dini ya kiislamu afrika Nzima Kisha aiunganishe yote Iwe under Islamic empire huku akiwa na Nia ya siri ya kupora watu weusi Ardhi Yao kwa kisingizio cha muungano na Taifa Moja. Watu walimshtukia. Wakaandaa mpango wa kumteketeza. Na ndio maana kipindi anapigwa viongozi wenzie wote walikaa pembeni bila kuingilia.
Haiwezekani sababu ikawa hiyo. Haya tuambie na Iraq je?
 
Libya isingewekewa zengwe bila kuwa na rasilimali mzee. Mbona Somalia hawana mpango napo? Au dini Somalia hamna?
Somali ipo strategic sana hasa kwenye njia za meli baharini, ila naamini ingekuwa na mafuta, basi Marekani lazima angeingilia kati na kuweka Rais kibaraka pale..
 
Yaani hadi Omar Bongo wa Gabon alishikwa akili na yule boya akabadili dini yake kisa vijimisaada,
Yaani majitu meusi yananunulika kirahisi sana,
Mtu unashindwa tumia akili zako mpaka mtu akushikie na unajiita kiongozi pumbaf kabisa,
NB:Kuna majitu hua yanamwita huyo Gadafi shujaa huko yakimsifia na sifa kede kede na hayana taarifa kwamba wajomba Zake na ndugu wengi walifia front vitani Uganda kwa kupigana na vikosi vya yule Mshenzi baada ya kumpa msaada Nduli Iddi Amina Dada Aisha,.......

Na ndugu yangu Gz wa 2000
Alikua anampa maujiko jamaa na alikua hajui kama Gadafi alimpa msaada Dada Amina kutupiga,
Nilipompa evidence mpaka leo kabadili msimamo akaanza kuchimba propaganda zake akagundua jamaa agenda zake zilikua za kiwaki sana!
 
Mna hoja msikilizwee, kwenye vita ya UG na TZ, hapo alijidhihirisha hasa mrengo wake uko upande gani
 
Back
Top Bottom