Gaddafi hakuuwawa sababu ya mafuta.

Somali ipo strategic sana hasa kwenye njia za meli baharini, ila naamini ingekuwa na mafuta, basi Marekani lazima angeingilia kati na kuweka Rais kibaraka pale..

Njia ya meli haina maana kwa westerners mzee. Mafuta na madini yangekuwepo Somalia wangeshavurugwa muda sana na kuchukua mali yao.
 

Mnacho jidanganya huu udini wetu. Dini sio kigezo cha kusema kilimuondoa. Bali watu uchoka kuishi na viongozi ambao wanaishi kama mungu.
We mbona umemchoka baba yako na ndio kakufanya kuwa na dini yake
 
Malengo ya muislam yeyote ni dini ya Allah kushika hatamu,haijalishi ataanza na njia gani au atapitia chochoro ipi,ila mwisho wa siku lazima ahakikishe dean inasimama.

Wakati anaendelea kutekeleza miakakati yake ya africa moja,moja ya sharti kuu ilikuwa ili upewe mkopo lazima ukubaliane na sharti kuu la kubadili dini,maana hawezi kukupa mkopo wenye manufaa ya kiislam(usio na riba)wakati wewe si muislam.hii ilifanya akawa peke yake ktk vita anayopigana bila kujua.

Wakati ambapo wale aliokuwa amewabana kisawa sawa wametii(wakoloni),yeye alikuwa anaendelea kuchezesha kete zakw vibaya bila kujua,kwanza hii ya udini,na nyingine ile ya kutawala mielele,wakoloni wakazitumia vyema.
 
Libya isingewekewa zengwe bila kuwa na rasilimali mzee. Mbona Somalia hawana mpango napo? Au dini Somalia hamna?
Ingawa Mtoa maada kashindwa kuwasilisha vizuri iwa watu wengi vichwa vigumu pia.

Sababu za utawala wa gadafi kuangushwa zipo nyingi zikiwemo za Dini.

Gaddafi alimsaidia Idd Amin kuipiga Tanzania sababu za interest za kidini.
 
Pale Kampala kuna msikiti wa Gaddafi.

Old Kampala.
 
Na hivi ndivyo anavyowaza Realboynicky akivuta ganja. IN MKOLONI VOICE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…