Watoto wa huku kwetu Kwamtogole wajua kuandika mahali anapoishi ni skill kubwa mkuu. Maana kile neno tu Kwamtogole.Weunasema watoto waupanga na masaki huko osterbay huku mwananyamala ipad aipate wapi na baba Ana Tecno sio watoto woote Wamelelewa hivyo ndio maana kuna st.kayumba