OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Anaonekana Kagame cup na timu yakeUshahidi pliiiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaonekana Kagame cup na timu yakeUshahidi pliiiz
TFF inachangia matatizo haya, ingerekebisha sheria,kanuni na taratibu za usajili lakini wao wapo tu wanawaza DEAL! !Sijaona duniani mchezaji mkataba haujaisha anasajiliwa timu nyingine . Huu ni uhuni
Mo kasajili wachezaji wa gharama kubwa kuwalipa halafu ye anasepaSasa kama pesa hauna unamiliki vp vitu vizuri
Umenikumbusha kisa cha Kiulizo time na Masanja.Sijaona duniani mchezaji mkataba haujaisha anasajiliwa timu nyingine . Huu ni uhuni
Dah mbn tunazdi poteza ulinzi yanga !!
teh teh!Sasa kama pesa hauna unamiliki vp vitu vizuri
Si umeleta Ali Ali mkuu, jiandae kwa og goal ynigi[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Dah mbn tunazdi poteza ulinzi yanga !![emoji848]
Nyoni atatumika mkuu,Sasa ni rasmi Gadiel kasajiliwa Simba kwani jina lipo kwenye listi ya majina yaliyopelekwa CAF kwa ajili nya ligi ya mabingwa. Kiukweli Simba ilihitaji beki wa kushoto wa kumsaidia Zimbwe zaidi ya Gadiel. Kwani Zimbwe na Gadiel kiasi kikubwa uchezaji wao unafanana sana. Ilibidi walete mchezaji mwenye uchezaji wa tofauti na Zimbwe. Anyway kwenye ligi ya bongo hakuna shida ila kwenye CAF league ndio mapungufu yataonekana.
Shida nyingine kubwa kwa Simba itakuwa mbavu ya kulia kwa Kapombe. Ukiangalia usajili wa Simba uliotumwa CAF nafasi ya beki namba mbili kama imesahaulika kabisa kwani Kapombe huwa anakumbwa na majeraha mara kwa mara. Yaani hapa ndio naishangaa kamati ya usajili sijui imefikiria nini labda kama wana mpango wa kumtumia Nyoni kulia wakati Kapombe atakapokuwa majeruhi
Poa itakuwa vizuri lakini ingependeza zaidi kama Simba wangempata Kimenya sijui alidai dau kubwa au ni mikataba jeshini imembana lakini yote heri tusubiri dirisha dogo mwelekeo utakuwa umepatikana kwani naona zimeachwa nafasi za usajili kama tatu hiviNyoni atatumika mkuu,
Leo yamukuwa haya, kuwa mpole dogo katua msimbazi viriba tumbo vya mihogo jangwani keshasahauHajui mpira. .hana ball control. .mguu wa kulia hata kureceive mpira hawezi...bogus tu
Unless wawe wamemchukua kuwa back up ya Tshabalala vinginevyo benchi litamuotesha sugu matakoni.Hata mimi mkuu... Gadi sometime hata kros anapiga butu... Zimbwe anapanda.. Anapunguza na kurudi fasta.
Ila sio mbaya hatuna 3 mbadala
Labda amefuata pesa hata akikaa benchi hana shida!Unless wawe wamemchukua kuwa back up ya Tshabalala vinginevyo benchi litamuotesha sugu matakoni.
.Tshabalala level nyingine kabisa.
Hata ninja mlisema hivyo lkn jiulize Leo amechukuliwa wp?Si umeleta Ali Ali mkuu, jiandae kwa og goal ynigi[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hii ishafanyika huko nyuma zaidi ya mara tano sema ndyo ivo hamna muendelezoKitu cha kufurahisha ni dr mshindo amefanyia kazi mara moja ushauri wa raisi mstaafu dr Kikwete . Watoto wamekusanywa kutoka mikoa yote kwa ajili ya mchujo wa kutengeneza timu ya under 20 chini ya Kocha smg . Talent zimepungua sana sasahivi
Na walitunishiga mishipa ya shingo kuwa hamna mchezaji wa ndala wa kupata namba unyamani... imekuawaje tena maisfa haya!!Wacha unafiki, alipokuwa Yanga alikuwa boya na hafai sasa kaja kwenu ndiyo mnashupaza bonge LA beki. Watz unafiki huu hatuwezi endelea.