GADIEL MICHAEL MMBAGA

GADIEL MICHAEL MMBAGA

Sijaona duniani mchezaji mkataba haujaisha anasajiliwa timu nyingine . Huu ni uhuni
TFF inachangia matatizo haya, ingerekebisha sheria,kanuni na taratibu za usajili lakini wao wapo tu wanawaza DEAL! !
 
Ninachofurahi Mimi ni maelekezo aliyoyaacha mwalimu zahera wakati anaondoka, alisema nawaomba viongozi msibembeleze mchezaji hata mmoja. Anataka kuondoka mwacheni aende kwa sababu wachezaji wanaokuja nina uhakika nao.
 
Sijaona duniani mchezaji mkataba haujaisha anasajiliwa timu nyingine . Huu ni uhuni
Umenikumbusha kisa cha Kiulizo time na Masanja.
"Mtu anaulizwa ukishinda house house boy utafanyaje anasema sehemu nitapangisha nyingne nakaa mwenyewe "
Jifunze kuandika baada ya kufikiria kua unachokiandika ni sahihi.
 
Sasa ni rasmi Gadiel kasajiliwa Simba kwani jina lipo kwenye listi ya majina yaliyopelekwa CAF kwa ajili nya ligi ya mabingwa. Kiukweli Simba ilihitaji beki wa kushoto wa kumsaidia Zimbwe zaidi ya Gadiel. Kwani Zimbwe na Gadiel kiasi kikubwa uchezaji wao unafanana sana. Ilibidi walete mchezaji mwenye uchezaji wa tofauti na Zimbwe. Anyway kwenye ligi ya bongo hakuna shida ila kwenye CAF league ndio mapungufu yataonekana.

Shida nyingine kubwa kwa Simba itakuwa mbavu ya kulia kwa Kapombe. Ukiangalia usajili wa Simba uliotumwa CAF nafasi ya beki namba mbili kama imesahaulika kabisa kwani Kapombe huwa anakumbwa na majeraha mara kwa mara. Yaani hapa ndio naishangaa kamati ya usajili sijui imefikiria nini labda kama wana mpango wa kumtumia Nyoni kulia wakati Kapombe atakapokuwa majeruhi
 
Nyoni atatumika mkuu,
 
Nyoni atatumika mkuu,
Poa itakuwa vizuri lakini ingependeza zaidi kama Simba wangempata Kimenya sijui alidai dau kubwa au ni mikataba jeshini imembana lakini yote heri tusubiri dirisha dogo mwelekeo utakuwa umepatikana kwani naona zimeachwa nafasi za usajili kama tatu hivi
 
Hajui mpira. .hana ball control. .mguu wa kulia hata kureceive mpira hawezi...bogus tu
Leo yamukuwa haya, kuwa mpole dogo katua msimbazi viriba tumbo vya mihogo jangwani keshasahau
 
Ukiingia kwenye official Facebook ya Simba Sc. Wametupia hiyo habari. Kwa ujumla ni kweli.
 
Hata mimi mkuu... Gadi sometime hata kros anapiga butu... Zimbwe anapanda.. Anapunguza na kurudi fasta.
Ila sio mbaya hatuna 3 mbadala
Unless wawe wamemchukua kuwa back up ya Tshabalala vinginevyo benchi litamuotesha sugu matakoni.
.Tshabalala level nyingine kabisa.
 
Unless wawe wamemchukua kuwa back up ya Tshabalala vinginevyo benchi litamuotesha sugu matakoni.
.Tshabalala level nyingine kabisa.
Labda amefuata pesa hata akikaa benchi hana shida!
 
Mpare kashtuka...kula hela za MO dogo wakati ndo huu maisha ya mpira ni mafupi sana...tena una nafasi kuonekana Afrika...hongera sana mzee ...ujanja pesa!! Achana na wazee wa mabakuli
 
Kitu cha kufurahisha ni dr mshindo amefanyia kazi mara moja ushauri wa raisi mstaafu dr Kikwete . Watoto wamekusanywa kutoka mikoa yote kwa ajili ya mchujo wa kutengeneza timu ya under 20 chini ya Kocha smg . Talent zimepungua sana sasahivi
Hii ishafanyika huko nyuma zaidi ya mara tano sema ndyo ivo hamna muendelezo
 
Wacha unafiki, alipokuwa Yanga alikuwa boya na hafai sasa kaja kwenu ndiyo mnashupaza bonge LA beki. Watz unafiki huu hatuwezi endelea.
Na walitunishiga mishipa ya shingo kuwa hamna mchezaji wa ndala wa kupata namba unyamani... imekuawaje tena maisfa haya!!
 
Back
Top Bottom