G8M8
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 432
- 391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nonda alikuwa mtanzania?Hivi mrundi nae ni mtanzania?Au comment haijaeleweka?
Nimekuuliza alitokea Timu na Ligi ipi,vipi Samatta nae ni Mrundi?Nonda alikuwa mtanzania?Hivi mrundi nae ni mtanzania?Au comment haijaeleweka?
Mkuu vp......umekurupushwa na nani?Bora aendeee kuleee ika akae akijuq kuna mnyama zimbwe junior anakichafua CAF champions league robo fainali
Aaah kweli kabisaYaan pamoja na kufurahishwa na kiwango bado anaenda majaribio.
Ila kiukweli hapa ndio huwa nachoka. Kama wamemfuatilia kwanini wasimnunue tu. Anatakiwa kupimwa afya tu baasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Magreth kobelo gonzaga .....Mkuu vp......umekurupushwa na nani?
Na hapo ameenda majaribio ,vipi angekuwa amekula mkataba kabisa.Mikia wataenda kuroga ila dogo katokea milimani....kama inauma mikia chomoenii..tunaenda Mbao kuchukua left back...
Hata huko Bidvest kucheza CAF inawezekanaBora aendeee kuleee ika akae akijuq kuna mnyama zimbwe junior anakichafua CAF champions league robo fainali
Ni kweli na kule mshahara ni mrefuHata huko Bidvest kucheza CAF inawezekana
Mkuu punguzeni ushabiki mwngine usio na maana,mie nilidhani utampongeza Gadiel angalau kwa hatua hiyo.Bora aendeee kuleee ika akae akijuq kuna mnyama zimbwe junior anakichafua CAF champions league robo fainali
Kumlinganisha Zimbwe na Gadiel ni kuikosea heshima Beki 3.Bora aendeee kuleee ika akae akijuq kuna mnyama zimbwe junior anakichafua CAF champions league robo fainali
Zimbwe haitwi kwa sababu kuu Moja ni more attacking kuliko defence while mbaga anaweza kushambulia na kudefend kingine left back taifa stars wanaitwa zaidi ya watatuAtaitwa tu we subiria litimu litakao kwenda misri ....jqmaa anaujua kiukweli japo na gadiel nae pia anaujua kumbuka zimbwe alicheza misimu mi 3 mfulukizo bilq kiwango ku drop msijisaulishe