Gadiel Michael wa Yanga atimkia South Africa

Gadiel Michael wa Yanga atimkia South Africa

Wacha aende kucheza soka ya Kulipwa ili Tanzania izidi kunufaika na Yanga itengeneze gadiel mungine
 
Mikia wataenda kuroga ila dogo katokea milimani....kama inauma mikia chomoenii..tunaenda Mbao kuchukua left back...
Na hapo ameenda majaribio ,vipi angekuwa amekula mkataba kabisa.
Mchawi wake ni wewe unaeleta Ushabiki wa hovyo usio na macho wala akili.
Kila heri G.Mbaga
 
Bora aendeee kuleee ika akae akijuq kuna mnyama zimbwe junior anakichafua CAF champions league robo fainali
Mkuu punguzeni ushabiki mwngine usio na maana,mie nilidhani utampongeza Gadiel angalau kwa hatua hiyo.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Nikisikia majaribio to najua hamna dili hapo... Sikumbuki mchezaji gani alienda majaribio na kuja kununuliwa
 
Ataitwa tu we subiria litimu litakao kwenda misri ....jqmaa anaujua kiukweli japo na gadiel nae pia anaujua kumbuka zimbwe alicheza misimu mi 3 mfulukizo bilq kiwango ku drop msijisaulishe
Zimbwe haitwi kwa sababu kuu Moja ni more attacking kuliko defence while mbaga anaweza kushambulia na kudefend kingine left back taifa stars wanaitwa zaidi ya watatu
Nyoni
Mbaga
Ally Sonso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom