Gadna G Habash kurudi tena kusikika redioni

bora arudi kwenye JAHAZI...
jamani siwapendi hawa wauza pumba wa sasa hivi...KIBONDE na wenzake...puuuuuu!
Harudi CLOUDS inasemekana kaenda TIMES FM.
 
kama sikosei times fm bosi wao ni taj liundi ambaye pia aliwahi kuwa mtangazaji wa clouds...acha aibomoe criminal empire
 
mambo ya mimba ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu sio suala la kumkashifu mtu, hujafa hujaumbika sidhani kama wana furahia kukosa mtoto ni Mungu tu ndiye mwenye maamuzi kuhusu hilo. Tusimkufuru Mungu jamani

Mi sijaona km majany amekashifu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…