Ulileta habari ya Muitaliano kwa mbwembwe nyingi, KUMBE ULIKUWA UZUSHI MTUPU, MUITALIANO ALIKANUSHA. UACHE HIYO TABIA.
kiukweli nimewasikia hao kipanya na fina lakni nimejaribu kuchunguza IQ zao na pj na gerald ni tofauti.pj na gerald wana uelewa mpana wa mambo mbali mbali.mfano walipokuwa wanajadili kuhusu mshahara wa rais jpm na kukatwa kodi utagundua hawajui mambo mengiHakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyo Wa " Oya Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
Unawafahamu vizuri Masoud Kipanya na Fina Mango au ndio umewasikia leo? Maana watu wa mikoani mna tabu sana mshazoea matangazo ya redio Abood.lakni pia hata dhana nzima ya vionjo vya uchekeshaji hawa vijana walikuwa juu zaidi.kila zama na wakati wake lazima clouds wakubali wamepoteza majembe sijui wamegombana au mkataba umeisha.hata hivyo nipende kuamini kuwa wamegombana maana kwa staili ya clouds wangefanya maandalizi ya kuwapokea wapya lakni hawa nao wameshtukizwa utagundua wakati wanatangaza leo asubuhi
Mbona Kawaida, anaangalia masilahi[emoji12]Huyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Mkuu hiyo combination na gadner si mchezo kiongoziWamtoe Kibonde pale kwenye Jahazi
We hapo ulipo ni sehemu ya ngapi?Huyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Clouds hua nasikiliza pb tu nikiwa barabarani kwenda kupiga mzigo hasa ile segment ya magazeti na PJ,Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tu
Acha uwongo,tune now EFM jamaa anaunguruma.Naomba Nianze Kwa KUSISITIZA Kuwa UZI Huu Hauhusiani Na Tarehe Ya Leo Na Dhana Nzima Ya Siku Ya Leo Ya WAJINGA Ila Naomba Muipokee Hii TAARIFA Kwa UMUHIMU Wake Mkubwa Kwani Ina UKWELI Wa 100%.
Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha JAHAZI.
Pongezi Kwake Gadner G. Habash Na Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani Hakika Sasa Tutaanza Kuiona Ile Clouds Ya KITEGA UCHUMI Yenye Mafundi Watupu Akina Fina Na Kipanya Katika Power Breakfast Na Gadner Katika Jahazi.
Naomba Kuwasilisha Na Nirudie Tena Kusisitiza Kuwa TAARIFA HII HAINA CHEMBE YOYOTE YA DHANA NZIMA YA SIKU YA WAJINGA Kwani UKWELI Ndio Huo.
Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?Acha uwongo,tune now EFM jamaa anaunguruma.
Gadna yupo clouds sasa hivi... Duuuuh .. Kweli mikataba..Nilikuwa sijui kama leo ni "Siku ya wajinga" lakini taarifa hizi ni kweli tupu na nimethibitishiwa na mmoja ktk wale wanaondoka Clouds sasa hivi