Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Ulileta habari ya Muitaliano kwa mbwembwe nyingi, KUMBE ULIKUWA UZUSHI MTUPU, MUITALIANO ALIKANUSHA. UACHE HIYO TABIA.

Pia aliwahi kuleta habari ya Muziki kumhusu JB Mpiana kuwa ametoa Album mpya,akakutana na wajuaji kuliko yeye,kwa kumpa shule kwamba Albam anayozungumzia ilitoka miaka ya 90.Na akakili kuwa kadanganya.
 
Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyo Wa " Oya Oya " Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.
kiukweli nimewasikia hao kipanya na fina lakni nimejaribu kuchunguza IQ zao na pj na gerald ni tofauti.pj na gerald wana uelewa mpana wa mambo mbali mbali.mfano walipokuwa wanajadili kuhusu mshahara wa rais jpm na kukatwa kodi utagundua hawajui mambo mengi
 
lakni pia hata dhana nzima ya vionjo vya uchekeshaji hawa vijana walikuwa juu zaidi.kila zama na wakati wake lazima clouds wakubali wamepoteza majembe sijui wamegombana au mkataba umeisha.hata hivyo nipende kuamini kuwa wamegombana maana kwa staili ya clouds wangefanya maandalizi ya kuwapokea wapya lakni hawa nao wameshtukizwa utagundua wakati wanatangaza leo asubuhi
 
lakni pia hata dhana nzima ya vionjo vya uchekeshaji hawa vijana walikuwa juu zaidi.kila zama na wakati wake lazima clouds wakubali wamepoteza majembe sijui wamegombana au mkataba umeisha.hata hivyo nipende kuamini kuwa wamegombana maana kwa staili ya clouds wangefanya maandalizi ya kuwapokea wapya lakni hawa nao wameshtukizwa utagundua wakati wanatangaza leo asubuhi
Unawafahamu vizuri Masoud Kipanya na Fina Mango au ndio umewasikia leo? Maana watu wa mikoani mna tabu sana mshazoea matangazo ya redio Abood.
 
Nadhani Ruge Kila Alikokuwa Akipita Asubuhi Anakutana Na Morning Magic Na Kile Kipindi Cha Kina Kitenge Kule Efm Akawa Hana Namna Zaidi Ya Kwenda Kujitumbua
 
Naanza kusikiliza jahazi la clouds. Combination ya gadner na kibonde niliimiss sana.
 
Rudisheni Africa bambataa. welcome brother G.Habash
 
Mkuu yawezekana wewe ni Ruge nini?? Mm naona hata hao jamaa PJ na Hando walikua wako vizuri sana sema sasa kama ni issue za nidhamu hapo ni mengine ile kiutangazaji wamebobea kabisa...watapata kazi tu
Clouds hua nasikiliza pb tu nikiwa barabarani kwenda kupiga mzigo hasa ile segment ya magazeti na PJ,
 
Ila kiukweli naikumbuka Clouds fm ya Fina na masoud POWER BREAKFAST
Midmorning jam JIDE
The TWELVE O'CLOCK with BOOGIE MASTER
Doctor Beat M.L CHRIS,FAT BLACK,na BONNIE LOVE kwenye 1&2
Drive home show na BOBBY
AFRICA BAMBATAA na OTHMAN NJAID O.J na Chales MUHAMIJI
Lucy Devine nae usiku
HAPA NDIPO WHEN CLOUDS WAS CLOUDS
ila power breakfast ya FINA NA MASOUD AND DR.BEAT WAS MY FAVOURITE
pia kipindi cha weekend- REMEMBERING FRIDAY-M.L CHRIS
 
Clouds wanapaswa waende mbele zaidi ya hapa sio kwa watangazaji tu,ni vizuri sasa wakaja na kitu tofauti kama kurusha mpira live ligi ya EPL n.k. watapiga bao sana ni mambo ya kujipanga na kutekeleza.
 
Naomba Nianze Kwa KUSISITIZA Kuwa UZI Huu Hauhusiani Na Tarehe Ya Leo Na Dhana Nzima Ya Siku Ya Leo Ya WAJINGA Ila Naomba Muipokee Hii TAARIFA Kwa UMUHIMU Wake Mkubwa Kwani Ina UKWELI Wa 100%.

Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha JAHAZI.

Pongezi Kwake Gadner G. Habash Na Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani Hakika Sasa Tutaanza Kuiona Ile Clouds Ya KITEGA UCHUMI Yenye Mafundi Watupu Akina Fina Na Kipanya Katika Power Breakfast Na Gadner Katika Jahazi.

Naomba Kuwasilisha Na Nirudie Tena Kusisitiza Kuwa TAARIFA HII HAINA CHEMBE YOYOTE YA DHANA NZIMA YA SIKU YA WAJINGA Kwani UKWELI Ndio Huo.
Acha uwongo,tune now EFM jamaa anaunguruma.
 
Nasikiliza clouds fm hapa naona Gadna yupo ndani ya nyumba..
 
Nilikuwa sijui kama leo ni "Siku ya wajinga" lakini taarifa hizi ni kweli tupu na nimethibitishiwa na mmoja ktk wale wanaondoka Clouds sasa hivi
 
Nilikuwa sijui kama leo ni "Siku ya wajinga" lakini taarifa hizi ni kweli tupu na nimethibitishiwa na mmoja ktk wale wanaondoka Clouds sasa hivi
Gadna yupo clouds sasa hivi... Duuuuh .. Kweli mikataba..
Taji liundi naye kaondoka kule efm.. Kaandika kwenye ukurasa wake wa fb..
 
Back
Top Bottom