Huyu kenge unamwambia kuhusu foleni za dar hata anajua basi uko mkoani kwao barabara ya lami moja tuu ya kwenda halmashauriKama wewe unavyochezea muda wako hapa JF, hii ni ishara kwamba hata gari huna kenge wewe, watu tunasikiliza redio kwenye magari yetu kwenye foleni za Dar.
wew nawe!!!Mkuu Hujafurahi Kama Mimi Nilivyofurahi. Yaani Sijui Niwape Pongezi Gani Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani WAMENIKUNA PANAPOTUKUKA Na Sasa Mimi Na Clouds FM Na Clouds FM Na Mimi. Nilipowasikia Akina Dada Fina Na Kaka Masoud Kipanya Asubuhi Na Kuthibitishiwa Kuwa Wamerudi Nyumbani Rasmi NILIRUKA Kwa Furaha Kubwa Mno.
Ndio Umeshawahi Kuleta Uzushi Humu Ndani Kuwa Clouds Imeuzwa Kwa Yusuph Manji..... Halafu Leo Unasema Clouds Wamemrudisha G. Habashi, Labda Nimsikie Ndio Ntaamin Bila Hivyo Siwezi Kukuamini...!Mkuu Niamini Kuwa Gadner G. Habash Amerudi Rasmi Clouds FM Na Jumatatu Utamsikia Rasmi. Huniamini Mkuu? Kuna Nililolileta Humu La Uwongo?
brevis na verossa nazo gari? zile sikirepaa tu huna gani gari weweKama wewe unavyochezea muda wako hapa JF, hii ni ishara kwamba hata gari huna kenge wewe, watu tunasikiliza redio kwenye magari yetu kwenye foleni za Dar.
Nilisikia wanaume wengi wa hiyo radio wanatembezewa mpiniKipindi cha leo tena kimekaa kifala fala siku hizI...wameweka na wanaume..nao wamekua km mashoga uongeaji mpk kushushuana hasa mussa...sikipendi
Achilia mbali hizo ulizozitaja ni gari za kifahari, hata Psso na Starlet ni gari, soma ujumbe huu saa moja jioni ukiwa kituo cha daladala unagombea mabasi ya kurudi kwenu mbagala ndio utatuheshimu tunaotembelea matako.brevis na verossa nazo gari? zile sikirepaa tu huna gani gari wewe
Achilia mbali hizo ulizozitaja ni gari za kifahari, hata Psso na Starlet ni gari, soma ujumbe huu saa moja jioni ukiwa kituo cha daladala unagombea mabasi ya kurudi kwenu mbagala ndio utatuheshimu tunaotembelea matako.
Nilisikia wanaume wengi wa hiyo radio wanatembezewa mpini
Duh!gentamycine andiko lako dogo ila ukilipima ni la mtu anae jiamini na alicho kiandika yaani wahenga wanasema hupepesi macho au hutafuni maneno.Hauko Mbali Na Ukweli.
Kwamba amerudi jahazini Gardner???Oookey ni kweli
Na wewe unamuda wa kuchezea, eti unakomenti habari isiyo kuhusu!!! sasa kama unaenda kazini na baiskeli utapata wapi muda wa kusikiliza Power breakfast ?watu mna muda wa kuchezea, ati mnasikiliza redio
naenda na TOYO nasikiliza music kupitia USB FLASH DISKNa wewe unamuda wa kuchezea, eti unakomenti habari isiyo kuhusu!!! sasa kama unaenda kazini na baiskeli utapata wapi muda wa kusikiliza Power breakfast ?
Ajikongoje anunue pikipiki atapata huduma hiyo.Na wewe unamuda wa kuchezea, eti unakomenti habari isiyo kuhusu!!! sasa kama unaenda kazini na baiskeli utapata wapi muda wa kusikiliza Power breakfast ?
Yupo na jahazi linaendelea kukata mawimbinisaidieni kama gardner yupo kwenye jahazi maana mi nilishaachaga kusikiliza redio ya wapuuzi...popoma lililotuka lilituambia lazima leo awepo kwenye kipindi..
Mhhhh [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]BADO DINA MARIUS....CLOUDS ITAKUA TAMJEE
Sa kumi kamili nilifungulia hiyo redio kumsikiliza mana nilipendaga utangazaji wake... Matangazo meengi.. Mpaka sa kumi na moja kasoro sikumsikia labda kama kaja baadaYupo na jahazi linaendelea kukata mawimbi