Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Kama wewe unavyochezea muda wako hapa JF, hii ni ishara kwamba hata gari huna kenge wewe, watu tunasikiliza redio kwenye magari yetu kwenye foleni za Dar.
Huyu kenge unamwambia kuhusu foleni za dar hata anajua basi uko mkoani kwao barabara ya lami moja tuu ya kwenda halmashauri
 
Mkuu Hujafurahi Kama Mimi Nilivyofurahi. Yaani Sijui Niwape Pongezi Gani Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani WAMENIKUNA PANAPOTUKUKA Na Sasa Mimi Na Clouds FM Na Clouds FM Na Mimi. Nilipowasikia Akina Dada Fina Na Kaka Masoud Kipanya Asubuhi Na Kuthibitishiwa Kuwa Wamerudi Nyumbani Rasmi NILIRUKA Kwa Furaha Kubwa Mno.
wew nawe!!!
 
Mkuu Niamini Kuwa Gadner G. Habash Amerudi Rasmi Clouds FM Na Jumatatu Utamsikia Rasmi. Huniamini Mkuu? Kuna Nililolileta Humu La Uwongo?
Ndio Umeshawahi Kuleta Uzushi Humu Ndani Kuwa Clouds Imeuzwa Kwa Yusuph Manji..... Halafu Leo Unasema Clouds Wamemrudisha G. Habashi, Labda Nimsikie Ndio Ntaamin Bila Hivyo Siwezi Kukuamini...!
 
Kama wewe unavyochezea muda wako hapa JF, hii ni ishara kwamba hata gari huna kenge wewe, watu tunasikiliza redio kwenye magari yetu kwenye foleni za Dar.
brevis na verossa nazo gari? zile sikirepaa tu huna gani gari wewe
 
Kipindi cha leo tena kimekaa kifala fala siku hizI...wameweka na wanaume..nao wamekua km mashoga uongeaji mpk kushushuana hasa mussa...sikipendi
Nilisikia wanaume wengi wa hiyo radio wanatembezewa mpini
 
brevis na verossa nazo gari? zile sikirepaa tu huna gani gari wewe
Achilia mbali hizo ulizozitaja ni gari za kifahari, hata Psso na Starlet ni gari, soma ujumbe huu saa moja jioni ukiwa kituo cha daladala unagombea mabasi ya kurudi kwenu mbagala ndio utatuheshimu tunaotembelea matako.
 
baba samira kwenye ubora wake.
 
mkuu kwani fina mango na kipanya wamerudi???

halafu kilichowaondoa pale ni nini??
 
Na wewe unamuda wa kuchezea, eti unakomenti habari isiyo kuhusu!!! sasa kama unaenda kazini na baiskeli utapata wapi muda wa kusikiliza Power breakfast ?
naenda na TOYO nasikiliza music kupitia USB FLASH DISK
 
nisaidieni kama gardner yupo kwenye jahazi maana mi nilishaachaga kusikiliza redio ya wapuuzi...popoma lililotuka lilituambia lazima leo awepo kwenye kipindi..
 
nisaidieni kama gardner yupo kwenye jahazi maana mi nilishaachaga kusikiliza redio ya wapuuzi...popoma lililotuka lilituambia lazima leo awepo kwenye kipindi..
Yupo na jahazi linaendelea kukata mawimbi
 
Yupo na jahazi linaendelea kukata mawimbi
Sa kumi kamili nilifungulia hiyo redio kumsikiliza mana nilipendaga utangazaji wake... Matangazo meengi.. Mpaka sa kumi na moja kasoro sikumsikia labda kama kaja baada
 
Back
Top Bottom