Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUYO JAMAA NI MUONGO WA KUTUPWA Kama umesikiliza E-Fm kuanzia saa 10 jioni utagundua huyo jamaa muongo wa kutupwa Gadner alikuwa kwenye kipindi cha ubaoni leo jioni na nimemsikiliza wakiwa na Mpoki ...! Huyo ni Muongo wa Kutupwa.Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.
Mlidhani GENTAMYCINE Nakurupuka. Mngejua Mwenyezi Mungu Kawapeni ZAWADI Halafu Mnaichezea. Labda Nikifa Ndiyo Mtagundua UMUHIMU Wangu Na KUNIKUMBUKA.
Mkuu soma hio post ya matola hapo juu, mini mara nyingi huwa sisikilizi redio kutokana na nature ya kaZi yangu. Pole mkuu kwa yote.
Matoka kasema kuna jamaa wanafanana sana sauti na G
Gadner yupo E-FM na alikuwa kwenye kipindi leo cha ubaoni!Nimeona leo mods wamemoderate threads na post mbalimbali za kupotosha lakini huh Uzi umewashinda. Ngoja tusubiri hiyo Jumatatu kama Captein akirudi basis sawaa
Jamaa yupo EFM na anamuhoji Vanesa Mdee now.Acheni uwongo.
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
Maisha ni kutafuta shekeli mkuu.Huyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Huu ni uongo na pengine unachanganya mambo au umejicha! Gadner yupo E-FM na nimemsikiliza leo kwenye kipindi cha ubaoni na walikuwa wanamhoji Vannesa Mdee...!Clouds wanapaswa waende mbele zaidi ya hapa sio kwa watangazaji tu,ni vizuri sasa wakaja na kitu tofauti kama kurusha mpira live ligi ya EPL n.k. watapiga bao sana ni mambo ya kujipanga na kutekeleza.
Nasikiliza clouds fm hapa naona Gadna yupo ndani ya nyumba..
Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?
Gadna yupo clouds sasa hivi... Duuuuh .. Kweli mikataba..
Taji liundi naye kaondoka kule efm.. Kaandika kwenye ukurasa wake wa fb..
Gadner yupo E-FM na leo amesikika kuanzia saa kumi..! Mtoa mada ana shahada ya uongo amesha waingiza chaka kama alivyo sema Clouds imeuzwa!Naanza kusikiliza jahazi la clouds. Combination ya gadner na kibonde niliimiss sana.
Rudisheni Africa bambataa. welcome brother G.Habash
Mkuu hiyo combination na gadner si mchezo kiongozi
Jose sasa hana kitu. Kila atakapoenda atafukuzwa...Maisha ni kutafuta shekeli mkuu.
Jose Mourinho alitoka Porto akaenda Chelsea baadae Inter Milan kisha akahamia Real Madrid...halafu akarudi Chelsea na sasa huenda akaenda Man Utd. Hayo ndio maisha.
Gardner alikuwa E-fm muda huo huo Ivuga aliposema yuko Clouds fmUsimlaumu without know how, kama una access ya kusikiliza clouds fungulia huyo jamaa ni Gadner mtupu, ingawa mimi sina redio kwa muda huu lakini nilishaingia chaka siku nyingi nikajuwa Gadner alisharudi clouds.
No worries bro nimeshangazwa na jinsi ulivyosisotiza ni yeye katika post zako zote Tatu. Let's see on Monday kama atakuwa yeyeMkuu soma hio post ya matola hapo juu, mini mara nyingi huwa sisikilizi redio kutokana na nature ya kaZi yangu. Pole mkuu kwa yote.
Matoka kasema kuna jamaa wanafanana sana sauti na G
Jose sasa hana kitu. Kila atakapoenda atafukuzwa...
Gardner alikuwa E-fm muda huo huo Ivuga aliposema yuko Clouds fm
No worries bro nimeshangazwa na jinsi ulivyosisotiza ni yeye katika post zako zote Tatu. Let's see on Monday kama atakuwa yeye
Narudi rasmi kusikiliza clouds fm
Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.
Usimlaumu without know how, kama una access ya kusikiliza clouds fungulia huyo jamaa ni Gadner mtupu, ingawa mimi sina redio kwa muda huu lakini nilishaingia chaka siku nyingi nikajuwa Gadner alisharudi clouds.
Mlidhani GENTAMYCINE Nakurupuka. Mngejua Mwenyezi Mungu Kawapeni ZAWADI Halafu Mnaichezea. Labda Nikifa Ndiyo Mtagundua UMUHIMU Wangu Na KUNIKUMBUKA.
Taji Liundi ni Manager wa vipindi pale Azam Media toka mwaka jana, Choice FM yuko Jimmy Kabwe na Othman Njaid(OJ).Huu ni uongo na pengine unachanganya mambo au umejicha! Gadner yupo E-FM na nimemsikiliza leo kwenye kipindi cha ubaoni na walikuwa wanamhoji Vannesa Mdee...!
Kuhusu Taji Liundi ni wazi wewe ni siku nyingi hufatilii mambo ya media..Taji Liundi alikuwa TBC international na ni mwaka sasa yupo Choice FM ya Clouds media..
OK nawachanganya sana ...nimekupata...Taji Liundi ni Manager wa vipindi pale Azam Media toka mwaka jana, Choice FM yuko Jimmy Kabwe na Othman Njaid(OJ).
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] umetisha MkuuJumamosi Huwa Kuna Power Breakfast? Kuna Watu Mnaudhi Kuliko Hata Magaidi / Wanamgambo Wa ISIS.
Amesema anaanza j3 wiki ijayo. Tusubiri.....!!Gadner yupo E-FM na leo amesikika kuanzia saa kumi..! Mtoa mada ana shahada ya uongo amesha waingiza chaka kama alivyo sema Clouds imeuzwa!
Inawezekana Leo ndio kipindi chake cha mwisho hapo e FM
Kipindi cha leo tena kimekaa kifala fala siku hizI...wameweka na wanaume..nao wamekua km mashoga uongeaji mpk kushushuana hasa mussa...sikipendiBADO DINA MARIUS....CLOUDS ITAKUA TAMJEE