Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamerudi tena kama wateule.Amerudi tena!
Popoma alietukuka alikuwa amekaa kwa mbali tu akiangalia watu wanahorojoka amerudi...hajarud...He is back,Hongera mleta mada
Hahaha hii ndio Tanzania bwanaMikataba inaletwa kwenye Rambo??Mbombo ngafu mwanawane!!
Asili ya kampuni ni briefcase mkononi..................so wat do yu espekti fo dhe sabu odineti?Mikataba inaletwa kwenye Rambo??Mbombo ngafu mwanawane!!
Kumbe watangazaji redio sawa na wanamuziki wa bendi,kila kukicha kuhamaShafii Dauda Akiwa na Captain G habash wakati akisaini mkataba wakurejea Clouds Fm.View attachment 334892
Aaah aaah. Labda kulikuwa na mvua na rambo ilitumika kukinga mkataba na mvua.Mikataba inaletwa kwenye Rambo??Mbombo ngafu mwanawane!!
Hizi fani baba yao na mama ni mmoja......hapo ongezea na bar maid na maderefa(sio DRIVER)Kumbe watangazaji redio sawa na wanamuziki wa bendi,kila kukicha kuhama
Kuanzia 250-800 kulingana na kituo alipo..Hivi wanalipwa shingapi hawa watangazaji
Mkuu nimecheka sana kwenye RAMBO!Mikataba inaletwa kwenye Rambo??Mbombo ngafu mwanawane!!