Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Kama sio mambo ya siku ya wajinga, naam huo ndio ukomavu. Hata kama milichukizana mkagombana lakini mwisho wa siku mnapoelewana inaonyesha ukomavu mkubwa wa kifikra.
 
Attachments

  • 1459854177938.jpg
    1459854177938.jpg
    59.5 KB · Views: 39
  • 1459854189278.jpg
    1459854189278.jpg
    28.8 KB · Views: 37
Yule jamaa aliewekwa Kwenye Jahazi Bw Dakota ana sauti kama ya Gardner vile.
Ndio maana mi nlidhania ni Gadner jana jahazini kiruuu
Too bad... By the way hakijaharibika kitu mana anarudi ila sasa kwa mfanano ule haipendezi wote kuhost kipindi kimoja
 
Ndio maana mi nlidhania ni Gadner jana jahazini kiruuu
Too bad... By the way hakijaharibika kitu mana anarudi ila sasa kwa mfanano ule haipendezi wote kuhost kipindi kimoja
Yule jamaa ana kipindi chake cha muziki wa dance hivi nadhani alichukuliwa kwa dharura tu baada ya Musa na Lekudaz kutomudu Jahazi.
 
Sidhani Kama atakubali tena maana alidhalilishwa Sana Na mwanamke
Sina uhakika lkn wanaweza kuyamaliza tu kurudia maisha yao ya zamani. Kama wanashindwa kusameana duniani mbinguni itawekana kweli
 
Sina uhakika lkn wanaweza kuyamaliza tu kurudia maisha yao ya zamani. Kama wanashindwa kusameana duniani mbinguni itawekana kweli
Sio lazima warudiane, talaka washapeana, kila mtu achape lapa kiana
 
Sasa naanza kuamini mleta mada anaweza kuwa katibu muenezi na udaku wa redio tajwa. ...
 
Ruge anazidi kuua ...naona kaamua kubeba mastaa wabunifu wenye historia pale au ambao wamewahi kufunika kwingine ....Bado kuna surprise itakuja ya jina lingine kubwa Bongo ....
 
Back
Top Bottom