mm najiuliza hasa kunanini mbona jide kaandamwa sana??
mvua kubwa kunyesha leo nyumbani lounge sijui itakuaje bora msiende jamani
mm najiuliza hasa kunanini mbona jide kaandamwa sana??
ivi aka ka shoga 2030 kana matatizo gani! Yaan kenyewe kazi yake kumchafua! Kwanza akajui kuandika vizuri maneno yake, niwazi ya kua wewe ni shoga
sawa sawa mkuu mtu yoyote anayewaza mabaya ujue yeye ndo anafanya ukisikia mtu anasema yule mchawi ujue wanakuwa wote kuwanga ndo yaliyowakuta hawa wenzetu wenye dada ambaye ivi karibuni ataanza kusikiliza kesi ambayo itampoteza,na kama ana stress ndo zitaanza,hapa ni ukweli mtupu hakuna cha timu iliyotumwa wala nini yeye si anajifanya kuwakashfu watu wengine yeye akiitwa bibi kizee anayelazimisha ujana atakubali.na bado mpaka akimbie jiji!chezea wenye nazo wewe!utamjuaje mtu mwenye tabia za ushoga?
Utamuja tu pale anapoona hoja baala ya kujibu yeye anaongelea mambo ya kishoga akizani hoja inahusu mambo ushoga amabyo yeye yapo kichwani muda wote
Acha ujinga wewe...sasa ishu ya kupata mtoto inahusikaje hapa....
Kama hicho kibibi kimeandamwa Clouds sijui ndo inakuwaje sasa maana siku hizi watu hata wakijamba wanasingizia Clouds ndo wamewafanya wajambe.
Huyu jamaa amechangia sana kuuwa muziki wa kizazi kipya na wanamuziki kuwa masiki akisaidiana na mke wake ambaye bado hawajafanikiwa kupata mtoto.
Walianzisha kampuni iliyoitwa JAG ambayo ilikuwa ikijulikana. Kama jay dee and gadner kama unakumbuka waligungua na studio jag record.
Kupitia jag record waliwamiliki dudubaya huyu mpaka leo anahasira na kisasi na gadner na jaydee mauzo ya album ya mpenzi yote walitia kapuni yeye akiambulia milioni 1 tu
Mr blue baada ya kutoka wakamtia maneno akahama umeneja kutoka kwa g lover mpaka kwa gadner walichomfanya ni kile kile mpaka leo hana kitu
Mandojo na domokaya baada ya kufukuzwa na majani pia waliwadaka ile album ya nikupe nini walisimamia wao wamewanyonya sana wakaka wa watu
Kifupi pesa mbuzi zao zimetokana na kuzurumu watu ndio maana wanaenda kwa kusua huku mikosi haiwakauki na sasa full kulalamika ili wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kujua mambo wawaonee huruma
majungu hayo,afu dojo na kaya albam yao ya kwanza taswira ilikuwa chni ya bongo records,hzo tabia zako waachie dada zako
sawa sawa mkuu mtu yoyote anayewaza mabaya ujue yeye ndo anafanya ukisikia mtu anasema yule mchawi ujue wanakuwa wote kuwanga ndo yaliyowakuta hawa wenzetu wenye dada ambaye ivi karibuni ataanza kusikiliza kesi ambayo itampoteza,na kama ana stress ndo zitaanza,hapa ni ukweli mtupu hakuna cha timu iliyotumwa wala nini yeye si anajifanya kuwakashfu watu wengine yeye akiitwa bibi kizee anayelazimisha ujana atakubali.na bado mpaka akimbie jiji!chezea wenye nazo wewe!