gadner g habash na mke wake

gadner g habash na mke wake

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa amechangia sana kuuwa muziki wa kizazi kipya na wanamuziki kuwa masiki akisaidiana na mke wake ambaye bado hawajafanikiwa kupata mtoto.
Walianzisha kampuni iliyoitwa JAG ambayo ilikuwa ikijulikana. Kama jay dee and gadner kama unakumbuka waligungua na studio jag record.
Kupitia jag record waliwamiliki dudubaya huyu mpaka leo anahasira na kisasi na gadner na jaydee mauzo ya album ya mpenzi yote walitia kapuni yeye akiambulia milioni 1 tu
Mr blue baada ya kutoka wakamtia maneno akahama umeneja kutoka kwa g lover mpaka kwa gadner walichomfanya ni kile kile mpaka leo hana kitu
Mandojo na domokaya baada ya kufukuzwa na majani pia waliwadaka ile album ya nikupe nini walisimamia wao wamewanyonya sana wakaka wa watu
Kifupi pesa mbuzi zao zimetokana na kuzurumu watu ndio maana wanaenda kwa kusua huku mikosi haiwakauki na sasa full kulalamika ili wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kujua mambo wawaonee huruma

Wivu wa kike unakusumbua!
 
Kama hicho kibibi kimeandamwa Clouds sijui ndo inakuwaje sasa maana siku hizi watu hata wakijamba wanasingizia Clouds ndo wamewafanya wajambe.

We kama si lile liathirika la Blauzi FM utakua demu wa nje wa Ruge.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom