Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Jamaa jana Kapiga nyimbo yake ya ndi ndi ndi Kweny Jahazi nlishangaa kweli
 
Hayo ni mazereu, yaani anamwita boss mzima kama JayDee aje kumpikia chai? Wanawake mnakwama wapi?
 
ndivyo wanawake walivyo
 
Wachie wenyewe mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo jamaa kwa jinsi alivyo mlevi..sijui kama kuna mwanamke anaweza kumvumilia asee...
 
Niliwahi kuandika Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...

View: https://youtube.com/shorts/KMVmvFPjui4?si=G28gCVGn1VUc-JbrRip Gadner G Habash
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…