makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hii inatufundisha tusimalize maneno kwenye jambo lolote lile... kumbuka kuna kesho... baada ya kumtusi mkewe leo anatamani kurudi kwake? Gardna kipindi kile anagombana na JD alitamba mitandaoni na kwenye media kwamba kachoka kumkojoza mkewe
Hivi kama mume kazi yake ilikuwa nini kwa mkewe? kukojoza ndiyo lengo halisi la ndoa.. Matokeo yake akaja kumdhalilisha JD hadharani. Hivi alidhani akimwacha JD hatopata wa kumkojoza? Alisahau kama hapa mjini mwanaume hayuko peke yake
Tena kuna vidume vinatoa shughuli zaidi ya kukojoza sasa Gadna ameshagundua makosa yake....amegunduwa kuwa hakumkomoa JD amejikomoa mwenyewe na pengine ameshatoswa na yule aliyekuwa anamuona ni zaidi ya JD anakumbuka shuka kumekucha
Wacha mabaharia wachezee shanga za mkeo, Gadna wacha kulialia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiwadhamini saana wanawake kwenye mapenzi, wana udhaifu fulani hivi.
Usishangae jide akarudi kuchezea miti ya huyo gadna.