Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Mbona wamevuruga sana vipindi
Hao at dozen jahaz mchomvu
Pb dhaaa kilicho na mwanzo hakikos
Mwisho

god is good
 
Huo mvurugo wa vipindi sijui ndio creativity au ni kutafuta tension tu baada ya kuona graph inashuka?
But wamefanya vema juu ya ngoma hio ya jide.

son of almighty God.
Una kapicha ka graph kushuka? Au unabwabwaja tu.
 
Umeshakuja mzee wa Spartacus Ze mnyama mkali?
Acha uzembe tumia akili yako au search kwenye platform mbalimbali au TCRA.
Mimi sio mzazi wako nikutafunie kila kitu,so chukua hiyo hint muhimu.

son of almighty God.
Lete kapicha mkuu kwa faida ya Wengi
 
MWEMBESI ONE,

Ruge HAKUWA mtu mzuri. Kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri. Ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Funguka, kaka. Sisi wa Kolomije unatuacha njia panda.
 
Baada ya bifu la muda mrefu baina ya cloudsfm na msanii Lady Jaydee hatimaye Clouds FM waanza kucheza nyimbo za Lady Jaydee. Mambo yameanza katika kipindi maalum cha uvunjaji sheria cha PB ambacho tofauti na ilivyozoeleka leo kimeendeshwa na Mchomvu, Gadner G Habash na wengine.

Katika kipindi hicho cha asubuhi mambo yalianza kwa Gadner kupiga wimbo wa Yahaya ambapo ilifuatiwa na ombi la mtangazaji huyo nguli kumuomba msanii Lady Jaydee kurudi kwake awe anampikia chai (ikumbukwe kuwa wanandoa hao waliachana).

Basi mambo yakawa si mambo ikawa zamu ya wimbo wa Joto Hasira wa Jide. Na jioni ktk Jahazi B Dozen amecheza wimbo wa Harmonize ft Lady Jaydee uitwao Wife. Twaweza sema huu ndiyo mwisho wa bifu la miaka nenda rudi baina ya Clouds FM na Jide. Marafiki wakigombana shika jembe ukalime, wakipatana nenda kavune.
wasafi media imeleta mapunduzi makubwa sana. inabidi wapige kwasabau hata wakiacha haina tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWEMBESI ONE,

Ruge HAKUWA mtu mzuri. Kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri. Ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Ni nani ambaye ni mzuri? Wewe kwa nafasi yako ambayo hata hujulikani umeliza wangapi?
Jay D pia ni mtu anayejisikia... Unakumbuka shabiki zake walimpigia kura akaondoka na tuzo kadhaa za kilimanjaro music awards, ila akaishia post "Hivi tuzo zishafanyika eti.... ah mimi sikujua kama zimefanyika." Ikiwa ina maana alidharau hizo tuzo wakat mwaka mmoja uliopita alikuwa pia kachukua na akazunguka nao kupiga show.
 
Back
Top Bottom