Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Gadner alivyoachana na JIDE alikuwa na Katoto kadogo kina umri kama wa mwanae karen sasa kama amerudisha majeshi kwa KOMANDO sijui kale katoto kanajisikiaje kwa sasa.
 
Mkuu Jide alimchafua sana jamaa,amenyamaza sana ,siku moja akatoa tusi moja wanawake wote wakaanza kulalamika wamedhalilishwa ,wakati Jide anatusi yeye katulia zake karibia miaka miwili hajibu,Jide got what she deserve!
Huyo mtangazaji hafai kuitwa mwanamume. Unamtukana mwanamke. eeeeh unaanzaje kwanza! Ohh mwanamke ni kumbe dhaifu

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Baada ya bifu la muda mrefu baina ya cloudsfm na msanii Lady Jaydee hatimaye Clouds FM waanza kucheza nyimbo za Lady Jaydee. Mambo yameanza katika kipindi maalum cha uvunjaji sheria cha PB ambacho tofauti na ilivyozoeleka leo kimeendeshwa na Mchomvu, Gadner G Habash na wengine.

Katika kipindi hicho cha asubuhi mambo yalianza kwa Gadner kupiga wimbo wa Yahaya ambapo ilifuatiwa na ombi la mtangazaji huyo nguli kumuomba msanii Lady Jaydee kurudi kwake awe anampikia chai (ikumbukwe kuwa wanandoa hao waliachana).

Basi mambo yakawa si mambo ikawa zamu ya wimbo wa Joto Hasira wa Jide. Na jioni ktk Jahazi B Dozen amecheza wimbo wa Harmonize ft Lady Jaydee uitwao Wife. Twaweza sema huu ndiyo mwisho wa bifu la miaka nenda rudi baina ya Clouds FM na Jide. Marafiki wakigombana shika jembe ukalime, wakipatana nenda kavune.
 
Ruge HAKUWA mtu mzuri, kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri....ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Pole sana mkuu kwa kulizwa na Ruge. R. I. P
 
Ruge HAKUWA mtu mzuri, kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri. Ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Hebu funguka, Ruge amemfanya nini nani?
 
Ruge HAKUWA mtu mzuri, kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri....ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Mademu bhana ndiyo waliokuwa wakimsifia kuwa anajua kukaza akiwa kitandani..

kuna demu mmoja humu JF alikuwa analilia lia mwamba alimsomesha na kumpa goodlife ila alimpa gwegwe
 
Ruge HAKUWA mtu mzuri, kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri....ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Hayaaa malaikaa ukiwa duniani upoo kuproove kwamba wewee ni mwanadamu hivyo makosa na haki ni yako...hakuna malaikaa acha kumlaumuu marehemu na usikutee ulimfahamu baaada ya kifooo weweee ...........get sleep with covid19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWEMBESI ONE,

Ruge HAKUWA mtu mzuri. Kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri. Ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Sasa hacra za. Nn mkuu
Mbona kama unalia [emoji16][emoji16][emoji16]

god is good
 
Back
Top Bottom