Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Unaweza ukatupa nyaraka zinazothibitisha hilo mkuu!!!??
1919986_tapatalk_1543146768069.jpeg

Kakosea kusema diamond ana hisa chache sana, ingawa sio mwenye hisa nyingi pia!..
 
Ni nani ambaye ni mzuri? Wewe kwa nafasi yako ambayo hata hujulikani umeliza wangapi?
Jay D pia ni mtu anayejisikia... Unakumbuka shabiki zake walimpigia kura akaondoka na tuzo kadhaa za kilimanjaro music awards, ila akaishia post "Hivi tuzo zishafanyika eti.... ah mimi sikujua kama zimefanyika." Ikiwa ina maana alidharau hizo tuzo wakat mwaka mmoja uliopita alikuwa pia kachukua na akazunguka nao kupiga show.
Siyo dharau mkuu. Ni stress,

Dada ana msongo Wa mawazo hivyo alikuwa anajifariji kwa Ku down play issues na Ku attack watu.

Ile ni mental disoder iliyotokana na stress..

I hope sasa hivi amerejea utimamu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Mario wote wa Town hawamuoni Lady JayDee? Au hawamuoni Bi Mkubwa kama yupo single?
 
Kwahiyo huyo mmiliki wa clouds hapo ndo yupi....!?
Na anamilikije wasafi media.!!?

Mwite huyo chizi atoe ufafanuzi.
Huyo mwenye hisa 53% hapo ni mke wa Joseph kusaga, kwahyo wanaamini kuwa hapo yupo kwa kivuli cha kusaga mwenyewe na ndiye anayeratibu kila kitu,hata hivyo inaaminika bifu ya diamond na clouds media imepangwa kibiashara zaidi kwani kama mmiliki wa media zote ni mmoja why kuwe na kutoelewana?

Just a share owner... Sio mmiliki.
 
Clouds Fm ni watu wenye hekima sana na wenye huruma na upendo sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
MWEMBESI ONE,

Ruge HAKUWA mtu mzuri. Kaliza wasichana wengi sana na wengine wako majumbani mwao wanajiuguza kisirisiri. Ukweli lazima usemwe kwani kuficha maovu yake hayatomfanya aende mbinguni, he already commited enough sins. Watanzania acheni unafiki, lazima ukweli usemwe tu.
Zungumza kwa marefu mkuu
 
Isije ukawa umeaminishwa hivyo
 
Back
Top Bottom