Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Gadner Habash amwomba Lady Jaydee arudi awe anampikia chai. Apiga nyimbo zake

Muda huu Clouds fm naona Gadner G Habas kaplay nyimbo ya Lady Jay Dee "joto hasira". Mtangazaji mwenzake Adam mchomvu akamuuliza "kaka vipi umerudi?"
 
Watu wengine wana ukubwa wa bure,lakini akili ni kama mtoto wa miaka 4
 
Clouds bila shaka wametambua mabifu yasiyo na maana hayana msaada wowote.

Nami nimefahamu kwamba hakuna bifu lilowaumiza kama hili na Jide.

Hope it will be Well. It was exciting to listen Yahaya na Joto Hasira playing.

Burudani ziendelee.

As For Jide na Gadner hawa wanapigana muda tu..sema kimyakimya.
 
Back
Top Bottom