Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
UNAWEZA usiamini lakini ukweli ndo huo...Jide majuzi ya tarehe 5 na 6 aliomba watu WAKE wa karibu kutafuta watu ili wamsaidie kupendezesha VIDEO ya wimbo wake mpya wenye maneno ya kinyago usinitishe.bado haujatoka na kweli jamaa wakafanya juu chini kupiga simu hapa na pale kuwapata watu tena kwa madai kwamba wawe wenye muonekano maridhawa...isitoshe wawe na mashati meupe au suti...jambo ambalo lilitimizwa kwa siku mbili mfululizo.
Siku ya kwanza tena usiku wa manane wakaenda Bahari Beach wakashoot VIDEO YA PILI tIMES FM....licha ya matatizo ya siku ya kwanza kuchelewa bada ya gari ya jide kugongwa na wachina na kwenda kumalizana KITUO CHA Osterbay jamaa walivumilia mpaka mwisho,tena kwa kuacha familia zao na kwa mapenzi makubwa kwa dada yao..sasa kwa kuwa waliahidiwa kifuta majonzi na ukizingatia kuna wengine waliingia gharama za kukodi nguo ili kunogesha video lakini hata ile Nauli tu imekuwa mizengwe kuwarudishia.(Story zinakuwa nyingi hiyo ni dharau).
Kuna kijana wa JIDE SIJUI NI ndugu ama nini mana wanafanana aitwae HANSI (huwa anahusika na malipo) kila akikumbushwa anadai bado,mara kwani tatizo nini,mara siku zilezile adai ni usiku pesa haziwezi kutoka,mara watu wake wengine waseme tena mshukuru ndo mwanzo wa kutoka kwani VIDEO ikitoka mtaanza kuitwa huku na kule....yaani eti wameuza sura!..(hata kama kuna ukweli je ndo makubaliano?).
Sasa kali kuliko yote ni baada ya wale wahusika leo kuwafungia kazi na kuwafuata pale nyumbani LOUNGE kujua tatizo ni nini?ndipo majibu ya kwamba Gaadner akiwa kama meneja mkuu alipewa na amekula mpaka jumatatu sasa haijajulikana anakuwa na maana gani?....sijui hajui kama anaharibu sifa ya mkewe?au ni dharau kwamba wao sasa wanazo wanaweza wanaweza wakafanya chozhote?Tafadhali kuna leo na kesho....walipeni watu,walitake RISK NJIANI.
Hata kama ni kidogo kuliko lawama hizi hazifai na wewe Gadner kama hupewi zako za kutosha Omba mbona anakupenda yeye yupo tayari kuuza nyumba kwa jili yako ila usitake ADVANTAGE kumuumiza,kuna siku atakuchoka!
Gadner unajua kumbuka ulikotoka,yetu macho,watu wakikulilia sana ni nuksi huwa una tabia izo kuzikazika pesa za malipo na kukausha! na kwa kuwa ni wanyonge hubakia wakiumia kimyakimya.mtu atoke MBEZI MAKABE SAA SABA USIKU eti uwambie aliuza sura?....bAsi video nzima ungekuwa wewe basi tuone inakuwaje!..LIPA BWANA ACHA IZO!