Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
UNAWEZA usiamini lakini ukweli ndo huo...Jide majuzi ya tarehe 5 na 6 aliomba watu WAKE wa karibu kutafuta watu ili wamsaidie kupendezesha VIDEO ya wimbo wake mpya wenye maneno ya kinyago usinitishe.bado haujatoka na kweli jamaa wakafanya juu chini kupiga simu hapa na pale kuwapata watu tena kwa madai kwamba wawe wenye muonekano maridhawa...isitoshe wawe na mashati meupe au suti...jambo ambalo lilitimizwa kwa siku mbili mfululizo.

Siku ya kwanza tena usiku wa manane wakaenda Bahari Beach wakashoot VIDEO YA PILI tIMES FM....licha ya matatizo ya siku ya kwanza kuchelewa bada ya gari ya jide kugongwa na wachina na kwenda kumalizana KITUO CHA Osterbay jamaa walivumilia mpaka mwisho,tena kwa kuacha familia zao na kwa mapenzi makubwa kwa dada yao..sasa kwa kuwa waliahidiwa kifuta majonzi na ukizingatia kuna wengine waliingia gharama za kukodi nguo ili kunogesha video lakini hata ile Nauli tu imekuwa mizengwe kuwarudishia.(Story zinakuwa nyingi hiyo ni dharau).

Kuna kijana wa JIDE SIJUI NI ndugu ama nini mana wanafanana aitwae HANSI (huwa anahusika na malipo) kila akikumbushwa anadai bado,mara kwani tatizo nini,mara siku zilezile adai ni usiku pesa haziwezi kutoka,mara watu wake wengine waseme tena mshukuru ndo mwanzo wa kutoka kwani VIDEO ikitoka mtaanza kuitwa huku na kule....yaani eti wameuza sura!..(hata kama kuna ukweli je ndo makubaliano?).

Sasa kali kuliko yote ni baada ya wale wahusika leo kuwafungia kazi na kuwafuata pale nyumbani LOUNGE kujua tatizo ni nini?ndipo majibu ya kwamba Gaadner akiwa kama meneja mkuu alipewa na amekula mpaka jumatatu sasa haijajulikana anakuwa na maana gani?....sijui hajui kama anaharibu sifa ya mkewe?au ni dharau kwamba wao sasa wanazo wanaweza wanaweza wakafanya chozhote?Tafadhali kuna leo na kesho....walipeni watu,walitake RISK NJIANI.

Hata kama ni kidogo kuliko lawama hizi hazifai na wewe Gadner kama hupewi zako za kutosha Omba mbona anakupenda yeye yupo tayari kuuza nyumba kwa jili yako ila usitake ADVANTAGE kumuumiza,kuna siku atakuchoka!

Gadner unajua kumbuka ulikotoka,yetu macho,watu wakikulilia sana ni nuksi huwa una tabia izo kuzikazika pesa za malipo na kukausha! na kwa kuwa ni wanyonge hubakia wakiumia kimyakimya.mtu atoke MBEZI MAKABE SAA SABA USIKU eti uwambie aliuza sura?....bAsi video nzima ungekuwa wewe basi tuone inakuwaje!..LIPA BWANA ACHA IZO!
 
WE Tonny hujaelewa nini? kifupi ni kwamba bada ya jide kutoa malipo kwa vijana waliomsapoti kuipambisha video ya jide ni mpya ndo kwanza imechukuliwa majuzi na pia kwenye siku ya kuzaliwa jide...yaani aliunganishia vipande vya bethidei na nyimbo mpya,,,hapa imeongelewa story ya huyo mumewe kutogawa zile pesa za wale walioshiriki kwenye VIDEO hujawai ona hata nyimbo kama R.kELLY akishoot video kuna kuwa na watu kama wapambe kupendezesha?au unadhani huwa wanatokea tu?si kwamba wanakuwa wamesetiwa?...sasa hao ndo wanazungushwa mallipo mana kabla waliahodiwa ndo huyo BWANA MKUBWA kala mpaka tena Bi JIDE ajipapae zingine sasa huoni kama huo ni uswahil?
 
umbea mtupu mxxxxx

Bila shaka utakuwa wewe,sina haja ya kuleta umbeya,amefuatwa kiustaarabu na anazungusha unadhani wanyonge wakimbilie wapi kama sio hapa JF?KUHUSU SOURCE ni mimi mwenyewe na aliyefanyiwa hiyo mmoja wapo ni ndugu yangu wa damu,alipokuwa anarudi usiku wa saa 8 namuona,walipatana iweje wazinguliwe?
 
Hakuna mambo yakuuza sura hapa!!
Pesa kwanza!
Bila shaka utakuwa wewe,sina haja ya kuleta umbeya,amefuatwa kiustaarabu na anazungusha unadhani wanyonge wakimbilie wapi kama sio hapa JF?KUHUSU SOURCE ni mimi mwenyewe na aliyefanyiwa hiyo mmoja wapo ni ndugu yangu wa damu,alipokuwa anarudi usiku wa saa 8 namuona,walipatana iweje wazinguliwe?
 
Habash ebu fanya utaratibu umaliza ! watu wamechoka bwana!!
 
Naona Kama promo ya wimbo vile.!!
 
mkuu si ungevumilia hadi iyo j'tatu kama ulivoandika Gadna alivyosema.
 
Mkuu ntakupm na mimi nataka kufanya shooting ni Tsh ngapi?
 
Tunaomba haki zetu,basi unajua ulitutumia kwenye VIDEO YAKO KWA SIKU MBILI MFULULIZO WENGINE MPAKA kuomba ruhusa kwenye vibarua vyetu ilimradi kuitikia MWITO NA HESHIMA KUBWA,SASA KUSINGEKUWA na malipo basi ingeelezwa mapema,Wababa wa FAMILIA KWENDA KUTUZUNGUSHA KWENYE ile COSTA yako eti kwenda hapa na pale kwa jili ya uchukuaji wa Tv,tena kwa kukoddi nguo kwa gharama zetu leo hii kuwe hakuna kitu.

USIKU WA MANANE, WEWE, hatutaki kusikia sijui Gadnner kala pesaa au nini,lawama ni kwako JIde kwa nini USIHAKIKISHE malipo yetu kwanza? hayo ya sijui nani kafanya nini hayakuwa makubaliano,jumatatu tunataka haki yetu,..

basi wala hatuna mengine,,na mapaka kuja humu ni bada ya maneno mengi mabovu ya baadhi ya watu wako eti tutaanza kufahamika na mengineo...TAFADHALI TUNAOMBA HAKI ZETU JUMATATU NA SISI TUNA FAMILIA.
 
Makubwa tena haya , ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, jide Siku izi anakaa jamii forum?? Si mumfuate polis au muende pale nyumbani lounge, kwanza msitusumbue wakat mnaitana kwenye video ulikuja kusema humu? Acheni umbea wenu, njaa tu hata aibu hamuoni kuja kudai elfu mbili umu, mlipokutana mkapeana dili za kuuza nyago mrudi uko uko mkadaiane
 
Naona Kama promo ya wimbo vile.!!

SI KWELI mbona havifanani wala kuingilia kama huamini fuatilia huko bahari beach times fm utajua ukweli....tena kwa kuwaunataka kuyajua mengi yasiyohusu mada..iyo bethdei aliyounganisha kwenye kuchukua iyo VIDEO alichukulia kwenye nyumba ya shoga ake huko huko BAHARI beach aliyafiwa na mume mzungu na kisha kumiliki jumba la kifahari...ndo vipande vya huo wimbo mtauona...sasa haijulikani mr. mzungu alikufa kufaaje mana ...yote yanawezekana,babu mzungu na sista duu!....sasa anaishi kama paradiso...wimbo si mtauona?
 
Habash ebu fanya utaratibu umaliza ! watu wamechoka bwana!!

amekula pesa zetu unadhani iyo j3 ni kweli labda alitaka kutangazwa bure kama hivi mana mtu mwenye busara hata siku moja huwezi dhurumu wanyonge!mana watalalamika tu,,ni tofauti na mwenye nazo anaweza kupotezea
 
Kadaianeni uko mlikokutania acheni umbea wenu, jide mmeambiwa anaishi jamii forum? Mfuaten kimara au nyumbani lounge, dhiki tu zimewajaa kwan mlilazimishwa
 
Makubwa tena haya , ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, jide Siku izi anakaa jamii forum?? Si mumfuate polis au muende pale nyumbani lounge, kwanza msitusumbue wakat mnaitana kwenye video ulikuja kusema humu? Acheni umbea wenu, njaa tu hata aibu hamuoni kuja kudai elfu mbili umu, mlipokutana mkapeana dili za kuuza nyago mrudi uko uko mkadaiane

Hahahahaha Makavu Live

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom