umetumwa??Aah aaah dah humu hapana kwa kweli
Tumeenda vizuri pale na tatizo ni maneno ya dharau na kufanya kitu kiwe kikuubwa wakati ni kumalizana kama vile tulivyokuwa tunaambiwa mfike saa moja usiku bila kuchelewa tunafika na kuwai,na kurudi saa 7 usiku,leo hii mambo yakiwa ivi,nawaza mengi....!!!kuhusu kuandamana nadhani si vizuri ila kwa mtindo wake huu kuna watu wataandamana hata si kwa hii video lakini kwa mbeleni...ETI MJE NA MASHATI MAZURI MEUPE,NA SULUALI AU SUTI KALI..watu tukajipinda tukatokelezea kama tunaenda kutoa mahali kumbe ujinga..poa washabiki wake mtamponza.
Tunaomba haki zetu,basi unajua ulitutumia kwenye VIDEO YAKO KWA SIKU MBILI MFULULIZO WENGINE MPAKA kuomba ruhusa kwenye vibarua vyetu ilimradi kuitikia MWITO NA HESHIMA KUBWA,SASA KUSINGEKUWA na malipo basi ingeelezwa mapema,Wababa wa FAMILIA KWENDA KUTUZUNGUSHA KWENYE ile COSTA yako eti kwenda hapa na pale kwa jili ya uchukuaji wa Tv,tena kwa kukoddi nguo kwa gharama zetu leo hii kuwe hakuna kitu ..
USIKU WA MANANE......WEWE!!! hatutaki kusikia sijui Gadnner kala pesaa au nini,lawama ni kwako JIde kwa nini USIHAKIKISHE malipo yetu kwanza? hayo ya sijui nani kafanya nini hayakuwa makubaliano,jumatatu tunataka haki yetu,..
basi wala hatuna mengine,,na mapaka kuja humu ni bada ya maneno mengi mabovu ya baadhi ya watu wako eti tutaanza kufahamika na mengineo...TAFADHALI TUNAOMBA HAKI ZETU JUMATATU NA SISI TUNA FAMILIA.
Umesahau kuandika jina lako ili malipo yawe officially.
Sa kuuza sura si ndo habari ya mujini...usipoenda wewe wataenda wenzio!!!
u wakaMpo sahihi kabisa kulalamika, dhuluma sio ishu wala nini....watu walipwe ujira wao
Ni juzi juzi tu mlijikusanya humu jamvini kumtetea alipolalamika eti anadhulumiwa na Ruge, leo mnataka kuunga mkono dhuluma yake......mkuki kwa nguruwe...acheni unafiki wabongo..shame on you.
Na hizi kauli za "kitanzania" kukebehiana..kuona wengine ni wakata viuno...kwa lipi la maana unalofanya wewe kuona wengine hawana la kufanya na wanakata viuno...as long as wewe ni m bongo basi hakuna cha maana unachofanya ni sawa tu na anayekata kiuno.
Au kuosha choo cha ndege au ku repair computer na simu zilizotengenezwa na wazungu ndio shughuli bora kuliko kukata viuno ?....huko nako kwa tafsiri yao wazungu ni kukata tu viuno ila kwa mazingira tofauti...na mtasubiri ku repair daima milele.
Pole sana, ntajaribu kuongea na DJ choka nimfikishie malalamiko yenu, nadhan ujumbe utafika, ila Mimi kwa experience ndogo ya Ku shoot video za wanamuzik, Mara nyingi video queens ndo at least wanalipwa the rest nadhan wanakuwaga mashabik ambao wanashoot for free, other wise kama aliwa promise kuwalipa...
eh...nikiasi gani mnadai...?
Umesahau kuandika jina lako ili malipo yawe officially.
Duh, wataje fast jide awarushie mpesa
Ila mlitokelezea...hakuna sura ya dhiki kwenye hiyo video, mi nilijua wote wa kishua tu, ndo unaanza kunifumbua macho mkuu..kazi nzuri sana mmefanya full white plus na ile range nyeupe ya jide ndo kabisaa mmeuaaULICHOSEMA NI KWELI unajua ingekuwa free sidhani kama kungekuwa na haja ya kulalama,ila kulikuwa na mapatano tena kwa kusema hata izo nguo kama suti na mashati meupe tulijigharamia kwa mapatano kwamba hata kama mtu ni nguo zako ama ulikodi basi yatalipwa pamoja na huo muda...usiku kwa usiku,,na wengi wetu tuliingia hata gharama za tax kurudi nyumbani mana gari la jide liliishia nyumbani lounge,kwani hata gari la jide hulala pale nyumbani lounge dereva wake anaitwa SAID....POA TU DUNIA INA MAJARIBU NDO HAYA!
Pole sana kijana, ila its better mkaenda polisi maana uko ndo mtapata haki yenu, jide ni star ameshaandikwa kwa mabaya kuliko hata hili,so kama mnataka kumchafua ni kazi bure, ameshazoea kuongelewa yule, ni kawaida sana, sidhan kama humu mtapata haki yenu zaidi ya kujichoresha mkuu, labda kama mnaipa promo hiyo video
Warumi umekunywa maji ya JIDE NA DAMU yaani eti twende POLICE hii ni zaidi ya POLICe..Tumchafue kwa lipi?
we si unampenda tafuta huu ukweli hata kwa kuulizia pale Times Fm KAMA KULIKUWA HAMNA KITU KAMA ICHO,UNADHNI MUMEWE angetupa haki zzzzzzzzzetu YANGEBUMBULUKA?WARUMI vipi dada angu ama ninini tatizo Hii ndo kazi ya Jf!
Ila mlitokelezea...hakuna sura ya dhiki kwenye hiyo video, mi nilijua wote wa kishua tu, ndo unaanza kunifu hatambua macho mkuu..kazi nzuri sana mmefanya full white plus na ile range nyeupe ya jide ndo kabisaaa