Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Tumeenda vizuri pale na tatizo ni maneno ya dharau na kufanya kitu kiwe kikuubwa wakati ni kumalizana kama vile tulivyokuwa tunaambiwa mfike saa moja usiku bila kuchelewa tunafika na kuwai,na kurudi saa 7 usiku,leo hii mambo yakiwa ivi,nawaza mengi....!!!kuhusu kuandamana nadhani si vizuri ila kwa mtindo wake huu kuna watu wataandamana hata si kwa hii video lakini kwa mbeleni...ETI MJE NA MASHATI MAZURI MEUPE,NA SULUALI AU SUTI KALI..watu tukajipinda tukatokelezea kama tunaenda kutoa mahali kumbe ujinga..poa washabiki wake mtamponza.

Pole sana, ntajaribu kuongea na DJ choka nimfikishie malalamiko yenu, nadhan ujumbe utafika, ila Mimi kwa experience ndogo ya Ku shoot video za wanamuzik, Mara nyingi video queens ndo at least wanalipwa the rest nadhan wanakuwaga mashabik ambao wanashoot for free, other wise kama aliwa promise kuwalipa...
 
Tunaomba haki zetu,basi unajua ulitutumia kwenye VIDEO YAKO KWA SIKU MBILI MFULULIZO WENGINE MPAKA kuomba ruhusa kwenye vibarua vyetu ilimradi kuitikia MWITO NA HESHIMA KUBWA,SASA KUSINGEKUWA na malipo basi ingeelezwa mapema,Wababa wa FAMILIA KWENDA KUTUZUNGUSHA KWENYE ile COSTA yako eti kwenda hapa na pale kwa jili ya uchukuaji wa Tv,tena kwa kukoddi nguo kwa gharama zetu leo hii kuwe hakuna kitu ..
USIKU WA MANANE......WEWE!!! hatutaki kusikia sijui Gadnner kala pesaa au nini,lawama ni kwako JIde kwa nini USIHAKIKISHE malipo yetu kwanza? hayo ya sijui nani kafanya nini hayakuwa makubaliano,jumatatu tunataka haki yetu,..
basi wala hatuna mengine,,na mapaka kuja humu ni bada ya maneno mengi mabovu ya baadhi ya watu wako eti tutaanza kufahamika na mengineo...TAFADHALI TUNAOMBA HAKI ZETU JUMATATU NA SISI TUNA FAMILIA.

Umesahau kuandika jina lako ili malipo yawe officially.
 
Mpo sahihi kabisa kulalamika, dhuluma sio ishu wala nini....watu walipwe ujira wao

Ni juzi juzi tu mlijikusanya humu jamvini kumtetea alipolalamika eti anadhulumiwa na Ruge, leo mnataka kuunga mkono dhuluma yake......mkuki kwa nguruwe...acheni unafiki wabongo..shame on you.

Na hizi kauli za "kitanzania" kukebehiana..kuona wengine ni wakata viuno...kwa lipi la maana unalofanya wewe kuona wengine hawana la kufanya na wanakata viuno...as long as wewe ni m bongo basi hakuna cha maana unachofanya ni sawa tu na anayekata kiuno.

Au kuosha choo cha ndege au ku repair computer na simu zilizotengenezwa na wazungu ndio shughuli bora kuliko kukata viuno ?....huko nako kwa tafsiri yao wazungu ni kukata tu viuno ila kwa mazingira tofauti...na mtasubiri ku repair daima milele.
 
mafanikio ya jide ndio ya gadna sasa iweje gadna apige hiyo pesa...?labda mtuambie kwamba ni promo....
 
Mpo sahihi kabisa kulalamika, dhuluma sio ishu wala nini....watu walipwe ujira wao

Ni juzi juzi tu mlijikusanya humu jamvini kumtetea alipolalamika eti anadhulumiwa na Ruge, leo mnataka kuunga mkono dhuluma yake......mkuki kwa nguruwe...acheni unafiki wabongo..shame on you.

Na hizi kauli za "kitanzania" kukebehiana..kuona wengine ni wakata viuno...kwa lipi la maana unalofanya wewe kuona wengine hawana la kufanya na wanakata viuno...as long as wewe ni m bongo basi hakuna cha maana unachofanya ni sawa tu na anayekata kiuno.

Au kuosha choo cha ndege au ku repair computer na simu zilizotengenezwa na wazungu ndio shughuli bora kuliko kukata viuno ?....huko nako kwa tafsiri yao wazungu ni kukata tu viuno ila kwa mazingira tofauti...na mtasubiri ku repair daima milele.
u waka
Yaani sijui nikushukuru vipi ndugu yangu,ulichosema ndo icho .kuna watu humu ndani Jide wanamchukulia kama mungu wao mdogo hakosei wala nini,na ukimgusa tu ama zao ama zako.....eti kukata kiuno tangu lini jide alifanya nyimbo watu wakakata viuno?je nyimbo zake za vile ni za kukata mauno? this is sad News!...nakushukiuru mdau,wenye moyo huo ni wachache wanaoona ukweli na kuusema wazi bila kujali ninini irimradi ni ukweli,kujifanya kumpenda mtu hata akikosea kwako ni sawa ni UTUMWA ZAIDI YA UKOLONI!
 
Pole sana, ntajaribu kuongea na DJ choka nimfikishie malalamiko yenu, nadhan ujumbe utafika, ila Mimi kwa experience ndogo ya Ku shoot video za wanamuzik, Mara nyingi video queens ndo at least wanalipwa the rest nadhan wanakuwaga mashabik ambao wanashoot for free, other wise kama aliwa promise kuwalipa...

ULICHOSEMA NI KWELI unajua ingekuwa free sidhani kama kungekuwa na haja ya kulalama,ila kulikuwa na mapatano tena kwa kusema hata izo nguo kama suti na mashati meupe tulijigharamia kwa mapatano kwamba hata kama mtu ni nguo zako ama ulikodi basi yatalipwa pamoja na huo muda...usiku kwa usiku,,na wengi wetu tuliingia hata gharama za tax kurudi nyumbani mana gari la jide liliishia nyumbani lounge,kwani hata gari la jide hulala pale nyumbani lounge dereva wake anaitwa SAID....POA TU DUNIA INA MAJARIBU NDO HAYA!
 
eh...nikiasi gani mnadai...?

Jumlisha kukodi vazi la suti,tax,na kuzungushwa kwa siku mbili tena usiku,na ni kwa masaa 8.uliza kama unamkodi mtu hata ulaya ipo ila hutegemea na nchi na mapatano....
 
Duh, wataje fast jide awarushie mpesa

labda alipe mwenyewe mana akimpa Gadner anakula sasa sijui anashindwa kumcontroo ama ni nini?
Mana sipati picha pesa iwe ya malipo na wewe hapo hapo,au halipwi?kwamba mama ndo anajua pesa niitoe vipi?mana unaweza mlaumu Gadner kumbe nae ana ukata,ndo mana tumesikia majuzi kama alipata kazi nchini kenya ya utangazaji Jide akakataa,sasa kwa miradi ile ukaanze kusaka ajira sehemu nyinine,,,huenda mama anabana.MANA mpaka pale ile ni ajira tosha kushinda hata ile ya kutangaza.
 
ULICHOSEMA NI KWELI unajua ingekuwa free sidhani kama kungekuwa na haja ya kulalama,ila kulikuwa na mapatano tena kwa kusema hata izo nguo kama suti na mashati meupe tulijigharamia kwa mapatano kwamba hata kama mtu ni nguo zako ama ulikodi basi yatalipwa pamoja na huo muda...usiku kwa usiku,,na wengi wetu tuliingia hata gharama za tax kurudi nyumbani mana gari la jide liliishia nyumbani lounge,kwani hata gari la jide hulala pale nyumbani lounge dereva wake anaitwa SAID....POA TU DUNIA INA MAJARIBU NDO HAYA!
Ila mlitokelezea...hakuna sura ya dhiki kwenye hiyo video, mi nilijua wote wa kishua tu, ndo unaanza kunifumbua macho mkuu..kazi nzuri sana mmefanya full white plus na ile range nyeupe ya jide ndo kabisaa mmeuaa
 
Pole sana kijana, ila its better mkaenda polisi maana uko ndo mtapata haki yenu, jide ni star ameshaandikwa kwa mabaya kuliko hata hili,so kama mnataka kumchafua ni kazi bure, ameshazoea kuongelewa yule, ni kawaida sana, sidhan kama humu mtapata haki yenu zaidi ya kujichoresha mkuu, labda kama mnaipa promo hiyo video

Warumi umekunywa maji ya JIDE NA DAMU yaani eti twende POLICE hii ni zaidi ya POLICe..Tumchafue kwa lipi?
we si unampenda tafuta huu ukweli hata kwa kuulizia pale Times Fm KAMA KULIKUWA HAMNA KITU KAMA ICHO,UNADHNI MUMEWE angetupa haki zzzzzzzzzetu YANGEBUMBULUKA?WARUMI vipi dada angu ama ninini tatizo Hii ndo kazi ya Jf!
 
inakuaje udai kitu kisichokuwa na mkataba,ni muda wa watu kuelewa haki ikoje,siku nyingine unaweza kufungwa ukasema umeonewa.
 
Warumi umekunywa maji ya JIDE NA DAMU yaani eti twende POLICE hii ni zaidi ya POLICe..Tumchafue kwa lipi?
we si unampenda tafuta huu ukweli hata kwa kuulizia pale Times Fm KAMA KULIKUWA HAMNA KITU KAMA ICHO,UNADHNI MUMEWE angetupa haki zzzzzzzzzetu YANGEBUMBULUKA?WARUMI vipi dada angu ama ninini tatizo Hii ndo kazi ya Jf!

Kwa hiyo nimeshakuwa Dada tena? Kweli jide kakuvuruga, pole sana mkuu....
 
kwan we ulikodisha nguo sh ngap?
mbezi makabe ulirudije??
halafu kwenye iyo video umevaaje ili niweze kukutambua???
 
Ila mlitokelezea...hakuna sura ya dhiki kwenye hiyo video, mi nilijua wote wa kishua tu, ndo unaanza kunifu hatambua macho mkuu..kazi nzuri sana mmefanya full white plus na ile range nyeupe ya jide ndo kabisaaa

Unajua hapa siongelei njaa,kiukweli hakuna mwenye dhiki kama mnavyota kuaminisha watu,tuna kazi zetu maisha yetu na
tunasomesha,hapa ni haki kama tulivyopatana.....ivi mwenye dhiki ya ivyo anajua kumiliki hata mambo ya laptop?
Acha izo kuwa na fikra positive kidogo....na ungejua unaongea na nani..anyway ngoja nikupoteze mana nimeshajua tatizo..!unadhani ye alituchukua tu barabarani...nilichohukia ni kwenda kinyume na makubaliano hata angesema bure tungekubaliana kwanza sisi ni wat wazima we unadhani mara nyingi ugonvi unaanzaga na vitu vikubwa?unaweza shangaa hata mia tu ikaanzisha ugonvi,why?sababu mapatano yamevunjwa!....
 
Back
Top Bottom