Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Sielewi kwanini wadau wanakushambulia wakati ki haki ilitakiwa aandamwe JIDE ili ijulikane kama ni kweli au la ,wapi ule uthubutu wa JF kusimamia ukweli?

Mkuu JF YA sasa imevamiwaa wasiojua maana yake.....nadhani umeshapima...mtu anabebwa na ushabiki anashindwa kusimamia ukweli!......police ya nini wakati jf ni jamii police tosha...?nashukuru kwa kuelewa walichotendewa vijana ila mpaka jana walikuwa bado kulipwa kama walivyoahidi wamesema mpaka j5 kama bado basi mabango yatafuata!
 
Wamfuate pale nyumbani lounge, yupo 24hours...

Warumi onyesha japo sura yako jamani tukujue maana unavyotetea udhurumati ..mpaka jana hawajalipwa.keshokutwa mtajua mengi kama ataendelea ivi...eti jana alikuwa na onyesho SERENA sijui na madai ya watu yanahusikaje.Sawa!
 
Utafanyaje kaz bila kuingia mkataba wala kusaini document za kuonesha mlikubaliana

Wacha waingizwe mjini Maamae
 
ndo hivyo mkuu alafu kama siajelewa kitu kimoja hivi inamaanisha huyu Fagason na Heloo ni mtu mmoja au watu wawili ttofauti wote wamedhulumiwa??

Fagasoni mwanaume MIMI Heloo mwanamke,imetokea kila mmoja kulalamika mimi wakati ndugu yangu kadhulumiwa yeye FAGASON nilivyomsoma ni yeye binafsi....subili watakuja wengi hapa kulalama mpaka jana bado ni story juu ya story,
 
Utafanyaje kaz bila kuingia mkataba wala kusaini document za kuonesha mlikubaliana

Wacha waingizwe mjini Maamae

Nyamaza hujui sheria ilivyobadilika..siku hizi kuna kitu kinaitwa wizi wa kuaminiwa!..yaani mnakubaliana na mtu halafu anakugeuka..na mazingira yatakuhuumu......we unadhani matapeli huwa wanapenda hata mambo ya kuandika andika?ndo mana ikaja sheria hiyo ili kulinda haki....
 
Kutoka kuwa mkata majani/mlinzi TBL Mwanza,,muuza kanda FM pale Mwanza hadi alipo lazima asahau alikotoka

Ipo siku Mungu atamlaani mpaka kurudi nyuma alikotoka..mifano ipo mingi sana!.....majigambo mengi sana!
 
Mna risiti za kukodisha hizo nguo au mnaropoka tu bila kujua nini mnataka ww mtu awaambie kama kuna gharama atalipa halafu unakuja na maneno bila stakabadhi ni wizi ru

Kwa iyo wewe usingemwamini?...ok.nadhani wahusika wamekusoma subili j5 uwe karibu pale nyumbani lounge kama bado hajalipa
 
Wewe unae jua ss mbona unetapeliwa
Hehehehehee

Hujaelewa,sijatapeliwa mimi,ila bdo siafiki utapeli huo kwa madai etihakuna risiti sijui mkataba...kuna sheria inaweza kukubana wizi wa kuaminika! ...mkuu just read between lines!
 
mmefiki wapi na madai yenu

Mimi kama mimi kwa kuwa nipo na mhusika mmoja wapo karibu napata updates!,mpaka jana bado...eti jide alikuwa na onyesho serena,mara kuna uzinduzi wa nyimbo ingine haukufanyika vizuri wasubili mara wasijali..ila wamesema mpaka j5 ikiwa bado basi REPUTATIONS za watu lazima ziharibike!
 
MI NINACH
OJUA JF NI mtetezi wa wengi nadhani unalijua hilo.....sasa hata kama walienda kwa mapenzi si kwa makubaliano?poa we unayesema walienda kuuza sura unafanya kazi gani mana isije ikawa zinafanana kasoro majina.
 
Waswahili tuna matatizo,mnaposema mnadai sijui kifuta jasho. Hiyo ni kiasi gani? Mlikubaliana nini kabla ya hiyo shooting? Kama sikosei mnadai nyinyi ni watu wake wa karibu na Jide. So kama ni kweli, hivi ukimsaidia rafiki yako kwenye shughuli yake ni lazima akulipe? Sitashangaa kwa mentality hiyo nyinyi ndo dizaini ya watu wanaotaka kunufaika kwenye misiba ya watu kwa kujifanya eti ni watu wa karibu na wafiwa!!!
 

wewe ukimtafuta mtu ukasema naomba nifagilie hapa halafu nitakupa kifuta jasho.akafagia then ukawa humpi vile ulivyosema akilalamika mbaya ni wewe ambaye hujatimiza au ni yeye anayedai..usichanganye matango mwitu na matango pori!
 
Hii thread ungeifanya kua sms ukatuma kwny namba ambayo ilikupigia ili uende kwny video ungekua umefanya busara sana au nenda polisi kafungue kesi ya madai kuleta haya malalamiko umu ni udhaifu mkubwa.

Ulichoshauri ni kizuri ila juhudi izo zimeshafanyika na mimi naona wanavyohangaika na si wachache unajua madai yAnapokuwa kwa wengi ndo tatizo lingine linapozaliwa!......police...hii ndo POLICE ZAIDI.....ujumbe kapata ila nadhani amekasirika mana kama pesa alitoa LABDA HUYO jamaa kula kwake kumeleta mushkeli kwamba atafute zingine...ndo mana anaumiwa na yeye kwa nini ampe yeye na matatizo yake anayajua ya kukata mafungu?
 
Kwani jide unamdai shilingi ngapi? Naona anakuvuruga sana mkuu, hyo tu music video umeshachanganyikiwa, ingekuwa filamu sijui ingekuwaje..video ni nzuri sana ila sikujua kuwa hadi nguo uliazima

Utakuwa haupo sawasawa...ivimtu anaweza akawa na nguo aina zote,acha mambo yako ndugu...unaweza ukawa na suti na bado rangi iliyotakiwa usiwe nayo,mbona hata mabwana harusi hukodi nguo,au wacheza miziki au kwenye sherehe na kuna maduka ya ivyo? ....jamani sijui kaka warumi unataka nini..kama ndo kumpenda JIDEndo huko basi we humpendi bali unamwalibu..huwezi hata shauri...ok.badae pitia ubwabwa nyumbani lounge huwa haviishi vyote (kiatu)
 
wewe ukimtafuta mtu ukasema naomba nifagilie hapa halafu nitakupa kifuta jasho.akafagia then ukawa humpi vile ulivyosema akilalamika mbaya ni wewe ambaye hujatimiza au ni yeye anayedai..usichanganye matango mwitu na matango pori!

You are too general. Angalia maandiko yangu. Nimeuliza mlikubaliana nini? Na ni nini kimekiukwa ktk hayo makubaliano yenu. Hata mkienda kwenye sheria mtaulizwa maswali hayo!! Katika uzi wenu sijaona mnalalamikia nini hasa(specific). Kama ni hayo malipo mlikubalina mlipwe kiasi gani kila mmoja wenu? Vinginevyo Gadner yupo right kudai kuwa hata nyie mmeuza sura kwenye hiyo video. Kwa kuws hata hiyo inaeweza kuitwa consideration kisheria.
 
na mashati meupe?....hebu weka picha nione mlivyotupia!.....nenda kituo cha polise ostrby ukafkishe shauri lako!

kusema ukweli walipendeza sana..tatizo ndo ilo tu la uzulumati,bure huna inajulikana!.....au fikilia uwe na jambo lako unawaambia wahusika muwai kufika saa moja jioni..halafu wafike saa tatu si utachukia? kwa sababu pengine muda huo ulipanga mambo megine....mi naona wanapolalamika wapo sahihi au aje jide hapa akanushe na humu yupo sana labda hamjagundua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…