Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

You are too general. Angalia maandiko yangu. Nimeuliza mlikubaliana nini? Na ni nini kimekiukwa ktk hayo makubaliano yenu. Hata mkienda kwenye sheria mtaulizwa maswali hayo!! Katika uzi wenu sijaona mnalalamikia nini hasa(specific). Kama ni hayo malipo mlikubalina mlipwe kiasi gani kila mmoja wenu? Vinginevyo Gadner yupo right kudai kuwa hata nyie mmeuza sura kwenye hiyo video. Kwa kuws hata hiyo inaeweza kuitwa consideration kisheria.

Sasa nimekusoma,wanadai kwamba bada ya kazi wangekaa na kutasmin kulingana na ukubwa wa kazi..ikumbukwe ilikuwa ni kwendalocation tofauti tofauti na muda haukuwa specifc......pengine ule upenzi na uaminifu unaojenga kwa mtu especially kama ni first time na ile kwamba hawezi fanya ivi ukizingatia umaarufu wake....naomba uelewe kwamba mkosaji hapa ni huyo bwana FATHER HOUSE WAKE! Othewise the lady is cool!!
 
Kwa iyo wewe usingemwamini?...ok.nadhani wahusika wamekusoma subili j5 uwe karibu pale nyumbani lounge kama bado hajalipa

Hata diamond yalimkuta kama haya waliibuka kina dada na madai kama haya mwisho wa siku wakatoka kapa wizi wa kuaminika unaujua ww? Wauza nyago hutoka kapa kama huamini endeleeni kudai
Unaenda kushtaki namdai kifutajasho?
Wizi wa kuaminika usiojulikana ni kiasi gani cha fedha?
 
Ukitaka kutimba kitaa kivingine basi unatakiwa hata staili ya kunyuka pamba nayo iwe kivingine; staili ya kuongea nayo kivingine! Ni hayo tu kwa sasa.

Hapana,ukweli utabakia huo..wala usichanganye mada au kuupotosha ukweli.....kama umefuatilia mada zote utagundua madai ni yanafanana aliyezulumiwa na anaye mtetea ndugu yake....sasa wewe unataka kuaminisha kwamba ni mtu mmoja si kweli.. ninavyojua hata unaporegister kuna mpaka email na --------- na ujumbe sasa there is no way mtu ufungue yahoo mbili au hotmail kuwe n sababu kubwa sijui ukiwa unataka nini...hata wataalamu wa haya mambo wafungue tu waone mawasiliano yangu ya huyo bwana na mimi kama ni sawa, mimi ni she yeye ni he....sasa kilichotokea nilipoona anazidiwa na upenzi wa watu humu wa jide kumshambulia wakati anaumia ndo nikasaidia lakini ukweli unabakia palepale kwamba mada zinafanana na rudiapoonewa! rekodi zetu za nyuma utabaini ukweli.....ACHA UPOTOSHAJI hata kama wapo wenye id nyingi sijui zinawasaidia nini kama post ni zilezile...au hawana kazi siwezi jua...ila fuatilia hata kwa MOds WATAKWAMBIA HAPA UNAWAONGELEA WATU WAWILI TOFAUTI ila mada moja!! RUDIA POST ZANGU .
 
Sasa nimekusoma,wanadai kwamba bada ya kazi wangekaa na kutasmin kulingana na ukubwa wa kazi..ikumbukwe ilikuwa ni kwendalocation tofauti tofauti na muda haukuwa specifc......pengine ule upenzi na uaminifu unaojenga kwa mtu especially kama ni first time na ile kwamba hawezi fanya ivi ukizingatia umaarufu wake....naomba uelewe kwamba mkosaji hapa ni huyo bwana FATHER HOUSE WAKE! Othewise the lady is cool!!

Hilo ni kosa la kiufundi. Kazi mnapatana KABLA NA SI BAADA. Siamini kuwa Meneja wa Jide hajui gharama za kushoot video kwa kuwa hiyo siyo video yake ya kwanza kuandaa. So kuna vigezo vyao vya malipo wanavyotumia kulipa washiriki. Lakini kama mlikwenda kwenye birthday ya Jide kama wapenzi na mashabiki wake. Sioni uhalali wa nyinyi kudai hayo malipo. Ndiyo maana nikakuuliza makubaliano yenu yanasemaje? Hii ni kawaida ktk jamii yetu ya kitanzania. Unampa mtu kazi ukimuuliza ni kiasi gani. Anashindwa kusema ababaki,ooh usihofu bwana we utanifikiria tu. Hatuwezi gombana. Sijui mimi na wewe tumetoka mbali n.k. Sasa ngoma inaanza unapomlipa. Utasikia aaah hii kidogo niongezee bwana. Lakini si nilikuuliza mwanzo ukashindwa ku bargain?
 
Warumi onyesha japo sura yako jamani tukujue maana unavyotetea udhurumati ..mpaka jana hawajalipwa.keshokutwa mtajua mengi kama ataendelea ivi...eti jana alikuwa na onyesho SERENA sijui na madai ya watu yanahusikaje.Sawa!

Sura yangu nitaonyesha pindi nitakapotimiza mwaka mmoja ndani ya jamii forum so keep waiting...back to the point apa tunazungumzia madai ambayo watu wanalalamika kuwa jide kawadhulumu, toka juzi mmeonyesha jitihada zenu kudai haki yenu humu jukwaani, nadhan ingekuwa busara kama mngemfuata mwenyeyewe mumpe makavu live, vinginevyo labda mnaona hamuwezi kulipwa hivyo machungu yote mnamalzia humu
 
Ukitaka kutimba kitaa kivingine basi unatakiwa hata staili ya kunyuka pamba nayo iwe kivingine; staili ya kuongea nayo kivingine! Ni hayo tu kwa sasa.

Nitakupm sasa ivi na kukupa no zangu pia heloo nampata akikubari nikupe no zake upige hata wote tukutane live,mana naona unataka kupotosha jamii ina mana mada moja haiwezi fanana majibu izo sound zenu sijajua znalenga nini...mimi mwanaume sio heloo ambae ni mwanamke tuheshimiane kama yeye kakerwa na kusaidia mshambulie kwa ivyo si eti wamoja....nope!!
 
Fagasoni mwanaume MIMI Heloo mwanamke,imetokea kila mmoja kulalamika mimi wakati ndugu yangu kadhulumiwa yeye FAGASON nilivyomsoma ni yeye binafsi....subili watakuja wengi hapa kulalama mpaka jana bado ni story juu ya story,

haya binti nimekusoma,im sure hili swala limeshamfikia jide tayari coz hata kama ni kitu kidogo as long as kimetangazwa jf lazima kimfikie mhusika so i hope kama jd ni mwelewa mtapata haki yenu kulingana na makubaliano yenu
 
MI NINACH
OJUA JF NI mtetezi wa wengi nadhani unalijua hilo.....sasa hata kama walienda kwa mapenzi si kwa makubaliano?poa we unayesema walienda kuuza sura unafanya kazi gani mana isije ikawa zinafanana kasoro majina.

Naanza kukuonea huruma sio kwa vile Jide kadhulumu kifuta jasho ila jinsi unavyo haha kwny hizi thread mbili pacha ku-justify uzembe wa waliokubali kufanya video bila makubaliano ya kisheria na dunia ya leo hakuna wa kuwatetea kwa grounds za maongezi yenu ya kishikaji trust me JF ni msaada ila kwa hili mtawaonea members maana sioni kitu hapa zaidi mnakuza jamvi kwa uzi mrefu mmeambiwa nendeni polisi mnawira au ibukeni pale Nyumbani lounge mnaleta mboyoyo mingi mbn kuvaa nguo nyeupe mliwahi mnashindwa nn kumiminika tena pale golini kwao mkamdai huu ni zaidi ya utoto naona mko hapa mnataka huruma ya wana jamvi kama fungukeni mnadai pesa ngapi ili wenye mioyo safi wawafute jasho solution nyngn nendeni jukwaa la sheria kuna waliobobea au jukwaa la malalamiko basi aaaaggggrrr tena for ya record mm sio muuza sura sio kipaji changu naomba niishie hapa.
 
Sura yangu nitaonyesha pindi nitakapotimiza mwaka mmoja ndani ya jamii forum so keep waiting...back to the point apa tunazungumzia madai ambayo watu wanalalamika kuwa jide kawadhulumu, toka juzi mmeonyesha jitihada zenu kudai haki yenu humu jukwaani, nadhan ingekuwa busara kama mngemfuata mwenyeyewe mumpe makavu live, vinginevyo labda mnaona hamuwezi kulipwa hivyo machungu yote mnamalzia humu
Duuuu,ii kaka WARUMI je unamtu unamjua pale nyumbani lounge?mimi huyu ndugu yangu nimemwambia asamehe tu kwani siku zote alikuwa anaishije?ila huyo jide na mumewe wanachofanya sidhani kama ni cha uungwana ila bado wapo wahusika wengine wanaodai j5 patachimbika ukitaka kushuhudia nenda pale au muulize Hansi mlipa watu anavyozungushwa nae na huyo GADNER...hakuna neno siye TUPO....
 
Naanza kukuonea huruma sio kwa vile Jide kadhulumu kifuta jasho ila jinsi unavyo haha kwny hizi thread mbili pacha ku-justify uzembe wa waliokubali kufanya video bila makubaliano ya kisheria na dunia ya leo hakuna wa kuwatetea kwa grounds za maongezi yenu ya kishikaji trust me JF ni msaada ila kwa hili mtawaonea members maana sioni kitu hapa zaidi mnakuza jamvi kwa uzi mrefu mmeambiwa nendeni polisi mnawira au ibukeni pale Nyumbani lounge mnaleta mboyoyo mingi mbn kuvaa nguo nyeupe mliwahi mnashindwa nn kumiminika tena pale golini kwao mkamdai huu ni zaidi ya utoto naona mko hapa mnataka huruma ya wana jamvi kama fungukeni mnadai pesa ngapi ili wenye mioyo safi wawafute jasho solution nyngn nendeni jukwaa la sheria kuna waliobobea au jukwaa la malalamiko basi aaaaggggrrr tena for ya record mm sio muuza sura sio kipaji changu naomba niishie hapa.
Huna huruma wewe,wasanii wote Duniani hata awe tajiri vipi wapo watu nyuma yao...sasa unapodharau wanaofanikisha eti sijui video au nini sawa.sasa kwa nini aliwakodi?au ndo wewe dhulumati?
 
Duuuu,ii kaka WARUMI je unamtu unamjua pale nyumbani lounge?mimi huyu ndugu yangu nimemwambia asamehe tu kwani siku zote alikuwa anaishije?ila huyo jide na mumewe wanachofanya sidhani kama ni cha uungwana ila bado wapo wahusika wengine wanaodai j5 patachimbika ukitaka kushuhudia nenda pale au muulize Hansi mlipa watu anavyozungushwa nae na huyo GADNER...hakuna neno siye TUPO....

Naam ngoja niongee na huyo hancy(wancy) then will be back for more information..
 
Hapana,ukweli utabakia huo..wala usichanganye mada au kuupotosha ukweli.....kama umefuatilia mada zote utagundua madai ni yanafanana aliyezulumiwa na anaye mtetea ndugu yake....sasa wewe unataka kuaminisha kwamba ni mtu mmoja si kweli.. ninavyojua hata unaporegister kuna mpaka email na --------- na ujumbe sasa there is no way mtu ufungue yahoo mbili au hotmail kuwe n sababu kubwa sijui ukiwa unataka nini...hata wataalamu wa haya mambo wafungue tu waone mawasiliano yangu ya huyo bwana na mimi kama ni sawa, mimi ni she yeye ni he....sasa kilichotokea nilipoona anazidiwa na upenzi wa watu humu wa jide kumshambulia wakati anaumia ndo nikasaidia lakini ukweli unabakia palepale kwamba mada zinafanana na rudiapoonewa! rekodi zetu za nyuma utabaini ukweli.....ACHA UPOTOSHAJI hata kama wapo wenye id nyingi sijui zinawasaidia nini kama post ni zilezile...au hawana kazi siwezi jua...ila fuatilia hata kwa MOds WATAKWAMBIA HAPA UNAWAONGELEA WATU WAWILI TOFAUTI ila mada moja!! RUDIA POST ZANGU .

Haki itatendeka tu hata kama si kwa sisi na hao ndugu zretu wengine basi kwa wengine si kila mtu anayedhulumiwa.....mzarau mwiba!!!
 
Naam ngoja niongee na huyo hancy(wancy) then will be back for more information..

Sasa unaona kumbe unaweza saidia ila ulikuwa unazunguuusha watu mapa nitake kuonekana Muongo?....haya nasubilia ndugu yangu...si unajua si wa....ga huwa hatuachi kitu hata mia!!!
 
Wanadai haki zao cha muhimuwalipwe haraka. Umbea hapo uko wapi? Kwa nini haraka unawaambia waende polisi? kuna njia nyingiza kudai haki hata kuandika humu ni sehemu mojawapo ya kudai haki! Ni kawaida wasanii kutumia watu bure wakati wenyewe wakipta a lot of money hii haikubaliki hata kidogo.
Unamwambia aende polisi wakatiu wa process za pilisai na mahaka zitakavytochulua muda itakuwa sawa na hela wanazodai/ JD jinsi ulivyomstaarabu walipe haki yao pindi utakapopata habari hiii.
MKUU naona tuache tu hii makitu mana pengine wanafanya pro...mpaka leo...kweli umwombe mtu tena kwa heshima tele/na kusema mwonekano wako ulivyo kama DANZIL WASHINGTON utapendezesha na kwa kuwa una shughuli zako nitakulipa na usumbufuna kila kitu...halafu eti inakuwa ivi mpaka tunadhalilika tunaonekana watu dhalimu?Namwachia MUNGU.
 
umeulizwa unadai kiasi gani? badala ya kutaja amount wewe unajambajamba tu jinga kabisa.

mwanaume yoyote anayekwenda kukata mauno kwenye video hana akili na ni mzigo kwa Taifa

Hakuna haja ya kunidharau na ukweli ni kwamba hakuna hata mmoja aliyekata mauno na si fani yangu zaidi ya kuonekana kama watu mlio kwenye paty na kila mtu na kinywaji..hapa naongelea time wasting.kwa siku mbili na usiku wa manane tena sehemu tofauti halafu makubaliano...ivi wewe hujawai kukubaliana na mtu kwa mdomo?yote huwa unayaandikia risti? na maandishi juu?kumbuka ilikuwa urgent na pengine walioandaliwa kabla walikataa au sijui ilikuwaje na sisi hatukuona haja ya kukataa sa long as tunapatana na mtu anayeaminika lakini kuishi kwingi ni kuona mengi...hata ivyo nakushukuru kwa mchango wako.
 
Bila shaka utakuwa wewe,sina haja ya kuleta umbeya,amefuatwa kiustaarabu na anazungusha unadhani wanyonge wakimbilie wapi kama sio hapa JF?KUHUSU SOURCE ni mimi mwenyewe na aliyefanyiwa hiyo mmoja wapo ni ndugu yangu wa damu,alipokuwa anarudi usiku wa saa 8 namuona,walipatana iweje wazinguliwe?

weka picha umevaa suti mkuu na hizo pamba mlizoambiwa mvae
 
Jide lipa pesa za watu,halafu huyo mkeo Gadna inaonyesha humpi pesa za matumizi za kutosha,mpe pesa siku ukinyang'anywa na mashuga mamy yanaojua kutoa pesa ndio utajua alaaaa
 
Back
Top Bottom