Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
- Thread starter
- #121
You are too general. Angalia maandiko yangu. Nimeuliza mlikubaliana nini? Na ni nini kimekiukwa ktk hayo makubaliano yenu. Hata mkienda kwenye sheria mtaulizwa maswali hayo!! Katika uzi wenu sijaona mnalalamikia nini hasa(specific). Kama ni hayo malipo mlikubalina mlipwe kiasi gani kila mmoja wenu? Vinginevyo Gadner yupo right kudai kuwa hata nyie mmeuza sura kwenye hiyo video. Kwa kuws hata hiyo inaeweza kuitwa consideration kisheria.
Sasa nimekusoma,wanadai kwamba bada ya kazi wangekaa na kutasmin kulingana na ukubwa wa kazi..ikumbukwe ilikuwa ni kwendalocation tofauti tofauti na muda haukuwa specifc......pengine ule upenzi na uaminifu unaojenga kwa mtu especially kama ni first time na ile kwamba hawezi fanya ivi ukizingatia umaarufu wake....naomba uelewe kwamba mkosaji hapa ni huyo bwana FATHER HOUSE WAKE! Othewise the lady is cool!!