GADNER IS ONE TRUE HERO! Sio wanaume wote wenye ujasiri wa kulikabili Comandoo Ndii ndiii

Kwanza uwe na tabia ya kusummarise habari next time.pili acha kufuatilia maisha ya watu......fuatilia mambo yako kwanza.....
 
nakumbuka kweli gadner alishawahi pata offer ya kazi nairobi akachagua ndoa yake akaitema ile kazi.
 
Ndi ndi ndi kakupa sh. ngapi mpaka umekuja kumtetea huku mitandaoni. Kweli pesa kiboko. Inasafisha palipochafuka.
 
Kama hajaziki je, na yule mtoto wake Gadna kamuokota au. Ngoja sasa tuone nani alikua mzigo time will tell, sorry to say wanadada mna midomo mingi sana so dawa yenu ni dongo moja tu kimyaaaa
Na mkikaa kimya tunaumiajee
 
Tusiegemee upande wowote, kiukweli wote ni wadhambi tu!
F: Kaiba mme wa mtu
M: Katelekeza familia na kuolewa

Tuwahukumu kwa makosa hayo makubwa, mengine ni matokeo...
Hivi ukiwa na mwanamke ambaye aliku-aproach wewe unafikiri tabia hiyo inakomea kwako?
Na je kwa wanawake .. ukiwa na mwanaume mpenda dezo unajidanganya kwamba alipenda dezo yako akatosheka?
 
Shida kingereza kimechanganywa mpaka na poteza POINT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…