GADNER IS ONE TRUE HERO! Sio wanaume wote wenye ujasiri wa kulikabili Comandoo Ndii ndiii

GADNER IS ONE TRUE HERO! Sio wanaume wote wenye ujasiri wa kulikabili Comandoo Ndii ndiii

MKE WA KWANZA KAZAAA, MCHEPUKO WA SAHIVI UMEZAA. Sehemu zingine wana malailoni ya mkojo mpaka tumboni utakojoa wee mwishoe unye kabisaa ila bila bila.
Hahahaaaaa,.....kuna watu mna kamusi huru vichwani mwenu
 
Lait kama sehemu kubwa ya mali ingekuwa ya Gadner hapo wanasheria wanafiki watetezi wa haki za wanawake wangedai mgawanyo bt nw mwanaume hana haki wakati ilikua ni ndoa halali halafu huyu ndi ndi ndi ana hacra coz atakua hakojozwi tena na jamaa ndo maana anamzungumzia sana
Dunia hii mkuu ni unafiki mtupu hakuna real commitment.
 
PIGA PICHA NDO CAPTAIN ANGEMUACHA JIDE BILA KITU CHOCHOTE,WANAWAKE TZ NZIMA WANGESIMAMA KUTETEA HAKI ZOA NA KUTAKA WAGAWANE MALI.MPKA WAZIRI ANGEFUATWA HAPO.
Cha ajabu sasa wako kimya, tule tu vyama uchwara twa haki za wanawake sijui nini, kama kweli wako serious na hili waje waseme kuwe na fairness tutawaelewa.
 
Nakuunga mkono Lara 1 asilimia mia moja. Watu wana mapenzi na Lady JD kiasi kwamba hata ukweli hawtaki kuuona. Gadner alikuwa Meneja wa LAdy JD nani ambaye hajui.Akili zake Nguvu zake, Vipaji vywake vyote alivitumia kwa huyu mama . Leo hii eti Gadner hana haki ya kitu chohcoet KWakwelu Lady JD Mungu atakuadhu=ibu hapa duniani kwani ulichofanya sio utu hata kidogo. Hiyo haitoshi unatumia kipaji chaki kumuimba Exwako ni haki kweli. Hivi yeye angeanza kukusimanga kwa kukosa motto ungestahimili kweli. Yeye ana a very beautiful Girl lakini aliamini mko wote. Kwani ups and downs kwenye familia ni ajabu?!?!?! Ulitaka akunyenyekee? Gadner don't worry anza maisha yako Mungu atakujalia. nakumbuka uliacha Offer kubwa Kenya wakati uliyemuamini mke wako alipokuambia chagua kati ya kazi na mke naamini kwa upendo tu ukachagua Mke baada ya miaka michache tu anakuacha na kusema huna chako?!?!?! Komaa na Mungu atakusimamia! Sijasikia ni grave sin ipi uliyofanya kustahili haya!

Siku zote tumezoea kusikia wanawake wanalilia mali za mwanaume ooh tumechuma wote, lakini huwezi kutamwanaume analilia mali za mwanamke hii kwangu ya kwanza.
 
Na Gardner kaniambia jay dee hata atoe wimbo afanye collabo na Beyonce kumzungumzia yeye kamwe hawezi kugeuka nyuma.mwanamke shetani yule eti.
 
Huku ni kutafuta 'KUKOJOZWA' ama ni nini?????????!
 
Back
Top Bottom