White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Hahahaaaaa,.....kuna watu mna kamusi huru vichwani mwenuMKE WA KWANZA KAZAAA, MCHEPUKO WA SAHIVI UMEZAA. Sehemu zingine wana malailoni ya mkojo mpaka tumboni utakojoa wee mwishoe unye kabisaa ila bila bila.
Dunia hii mkuu ni unafiki mtupu hakuna real commitment.Lait kama sehemu kubwa ya mali ingekuwa ya Gadner hapo wanasheria wanafiki watetezi wa haki za wanawake wangedai mgawanyo bt nw mwanaume hana haki wakati ilikua ni ndoa halali halafu huyu ndi ndi ndi ana hacra coz atakua hakojozwi tena na jamaa ndo maana anamzungumzia sana
Hata mimi nimejikuta nacheka sijui kwa niniHahahahah Yani nikikumbuka nacheka kila saa...af anamalizia Yori Ndi
Cha ajabu sasa wako kimya, tule tu vyama uchwara twa haki za wanawake sijui nini, kama kweli wako serious na hili waje waseme kuwe na fairness tutawaelewa.PIGA PICHA NDO CAPTAIN ANGEMUACHA JIDE BILA KITU CHOCHOTE,WANAWAKE TZ NZIMA WANGESIMAMA KUTETEA HAKI ZOA NA KUTAKA WAGAWANE MALI.MPKA WAZIRI ANGEFUATWA HAPO.
Nakuunga mkono Lara 1 asilimia mia moja. Watu wana mapenzi na Lady JD kiasi kwamba hata ukweli hawtaki kuuona. Gadner alikuwa Meneja wa LAdy JD nani ambaye hajui.Akili zake Nguvu zake, Vipaji vywake vyote alivitumia kwa huyu mama . Leo hii eti Gadner hana haki ya kitu chohcoet KWakwelu Lady JD Mungu atakuadhu=ibu hapa duniani kwani ulichofanya sio utu hata kidogo. Hiyo haitoshi unatumia kipaji chaki kumuimba Exwako ni haki kweli. Hivi yeye angeanza kukusimanga kwa kukosa motto ungestahimili kweli. Yeye ana a very beautiful Girl lakini aliamini mko wote. Kwani ups and downs kwenye familia ni ajabu?!?!?! Ulitaka akunyenyekee? Gadner don't worry anza maisha yako Mungu atakujalia. nakumbuka uliacha Offer kubwa Kenya wakati uliyemuamini mke wako alipokuambia chagua kati ya kazi na mke naamini kwa upendo tu ukachagua Mke baada ya miaka michache tu anakuacha na kusema huna chako?!?!?! Komaa na Mungu atakusimamia! Sijasikia ni grave sin ipi uliyofanya kustahili haya!
Lala = Larawewe lala 1 acha unafiki...