Wenzenu wana sajili nyie mnazurula baadae vitaanza vilio vya GSM na bahashaNi free agent na hakukuwa na team iliyopeleka maombi kutaka huduma yake, APR pia walikuwa na mpango nae ila nadhani kaona dili la yanga litamlipa kuliko APR.
Umepigwa wapi?Hapa tumepigwa wananchi.
View attachment 2282891
Safi sana makolo wataisoma.Gaël Bigirimana ni raia wa burundi anayejiunga na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania akitokea Glentoran FC iliyopo United Kingdom.
Yanga SC wamekamilisha dili hilo kwa dau lisilowekwa bayana (undisclosed fee). Gael atajiunga na mabingwa hao kwa ajili ya msimu ujao.
Taratibu zote za Usainishaji mikataba linaendelea usiku huu hapa makao makuu ya Yanga SC.
Gael ni kiungo mchezeshaji.
View attachment 2282848
Bigirimana nilimkubali Sana alipokuwa Newcastle, kama atakuwa na kiwango chake kile atawasaidia Sana.Kama ni Mrundi maana yake Cedric Kaze atakuwa ana ABC zake. All the best Wananchi kwenye michuano ya Kimataifa msimu unao.
Maana kwenye ligi ya ndani hamkuwa na mpinzani! Imagine mlichukua Ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu na ubingwa wa Shirikisho! Na ikumbukwe mlitangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu huku mkiwa mna michezo kadhaa mkononi!
Kwa sasa kilichobakia ni kung'ara tu kimataifa. Wale wengine waacheni waendelee kushabikia usajili wenu! Wakija kushtuka kutoka usingizini, CEO wao atakuwa ameshawapiga na kitu kizito kwenye vichwa vyao.
Sasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??
Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.Bigirimana nilimkubali Sana alipokuwa Newcastle, kama atakuwa na kiwango chake kile atawasaidia Sana.
Kama usajili wenyewe ndio huu, basi endeleeni.wenzenu wana sajiri nyie mnazurula baadae vita aznza vilio vya GSM na bahasha
Mbona Meddie Kagere tangu mwaka 2000 anacheza ligi kuu! Na bado alipokuja simba aling'ara! Itashindikana vipi kwa huyo Bigirimana?Sasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??
😂😂
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.