Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Gaël Bigirimana ni raia wa Burundi anayejiunga na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania akitokea Glentoran FC iliyopo United Kingdom.

Yanga SC wamekamilisha dili hilo kwa dau lisilowekwa bayana (undisclosed fee). Gael atajiunga na mabingwa hao kwa ajili ya msimu ujao.

Taratibu zote za Usainishaji mikataba linaendelea usiku huu hapa makao makuu ya Yanga SC.

Gael ni kiungo mchezeshaji.

IMG_0579.jpg
 
Kama ni Mrundi maana yake Cedric Kaze atakuwa ana ABC zake. All the best Wananchi kwenye michuano ya Kimataifa msimu unao.

Maana kwenye ligi ya ndani hamkuwa na mpinzani! Imagine mlichukua Ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu na ubingwa wa Shirikisho! Na ikumbukwe mlitangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu huku mkiwa mna michezo kadhaa mkononi!

Kwa sasa kilichobakia ni kung'ara tu kimataifa. Wale wengine waacheni waendelee kushabikia usajili wenu! Wakija kushtuka kutoka usingizini, CEO wao atakuwa ameshawapiga na kitu kizito kwenye vichwa vyao.
 
Gaël Bigirimana ni raia wa burundi anayejiunga na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania akitokea Glentoran FC iliyopo United Kingdom.

Yanga SC wamekamilisha dili hilo kwa dau lisilowekwa bayana (undisclosed fee). Gael atajiunga na mabingwa hao kwa ajili ya msimu ujao.

Taratibu zote za Usainishaji mikataba linaendelea usiku huu hapa makao makuu ya Yanga SC.

Gael ni kiungo mchezeshaji.

View attachment 2282848
Safi sana makolo wataisoma.
 
Kama ni Mrundi maana yake Cedric Kaze atakuwa ana ABC zake. All the best Wananchi kwenye michuano ya Kimataifa msimu unao.

Maana kwenye ligi ya ndani hamkuwa na mpinzani! Imagine mlichukua Ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu na ubingwa wa Shirikisho! Na ikumbukwe mlitangazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu huku mkiwa mna michezo kadhaa mkononi!

Kwa sasa kilichobakia ni kung'ara tu kimataifa. Wale wengine waacheni waendelee kushabikia usajili wenu! Wakija kushtuka kutoka usingizini, CEO wao atakuwa ameshawapiga na kitu kizito kwenye vichwa vyao.
Bigirimana nilimkubali Sana alipokuwa Newcastle, kama atakuwa na kiwango chake kile atawasaidia Sana.
 
Sasa kama alicheza enzi hizo na Arteta na mpaka sasa mwenzake ni kocha kwa miaka kazaa na kazeeka, yeye atakuwa bado na miaka 28 kama mnavyojaribu kuaminisha watu??

😂😂
Mbona Meddie Kagere tangu mwaka 2000 anacheza ligi kuu! Na bado alipokuja simba aling'ara! Itashindikana vipi kwa huyo Bigirimana?
 
Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Back
Top Bottom