Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kama unajua vizuri huyo aliyesema hivyo wala usingejisumbua kutoa elimu yako..Ni member wa hovyo sana yaani..!Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.
Watanzania wameshakuwa malimbukeni na washamba kwa wachezaji wanaotoka nje ya nchi.Kama unajua vizuri huyo aliyesema hivyo wala usingejisumbua kutoa elimu yako..Ni member wa hovyo sana yaani..!
Hivi mchezaji awe anacheza EPL kwa kiwango, unafikiriaje kuwa amesajiliwa Yanga bado akiwa na kiwango hicho hicho cha EPL.
Hata akiwa nusu ya kiwango alichonacho still anaweza kucheza ligi yetu na ya michuano ya caf kutokana na level ya ligi aliyochezea na huku za zakwetuHoja yangi ni kwamba angekuwa na kiwango kilekile alichokuwa nacho wakati yupo Newcastle, angeifikiria Yanga?
Swala la level za ligi hata mimi najua, na siwezi kupingana na wewe.
Kuna timu ilisajili wabazil kutoka India hivi bado wapo?Sasa kama ni kweli ametoka ulaya unataka tuseme katoka wapi?
Mbona mnakosa uvumilivu kwa mambo madogo tuu? Kuweni na subira kama mzuri mtajionea na kama wakawaida mtamkosoa na kumponda mtakavyo.
NB ni kweli ametoka ulaya ata kama itawauma
Hamna mchezaji hapo
Una wivu wa kike kama BarbaraHamna mchezaji hapo
Humu wananchi tumepigwa
Wewe una wivu wa kichoko kama KabwiliUna wivu wa kike kama Barbara
Tumepigwa kwa kigezo kipi?.Humu wananchi tumepigwa
Kwani huyo mchezaji anacheza nafasi gani?Tumepigwa kwa kigezo kipi?.
Hilo sikatai mkuu kwa huku kwetu huenda atacheza vizuri tu(probability), ninachokataa ni ile kauli ya kusema....Hata akiwa nusu ya kiwango alichonacho still anaweza kucheza ligi yetu na ya michuano ya caf kutokana na level ya ligi aliyochezea na huku za zakwetu
Gari ya Mkaa hiyo.Hamna mchezaji hapo
Hata Aucho na Djuma Shaban hawakuwa kwenye viwango vya walikotoka. Lakini kwa Tanzania wakawa bora kuliko waliowakuta.Lakini pia haihitaji akili kubwa kujua kuwa "akiwa kwenye kiwango chake" hawezi kuja kucheza Tanzania kutokea Ulaya.
Humu wananchi tumepigwa
Huenda nikakuunga mkono msimu utakapo changanya.Humu wananchi tumepigwa
Nimesema na nitaendelea kusema kuwa, hakuna mchezaji aliye kwenye kiwango chake(prime) huko ulaya anaeweza kuja kucheza bongo hapa.Hata Aucho na Djuma Shaban hawakuwa kwenye viwango vya walikotoka. Lakini kwa Tanzania wakawa bora kuliko waliowakuta.
Umeandika kwa uchungu sana aisee.Nimesema na nitaendelea kusema kuwa, hakuna mchezaji aliye kwenye kiwango chake(prime) huko ulaya anaeweza kuja kucheza bongo hapa.
Ni lazima tukubali kwanza kuwa huyo mchezaji hana soko kule kwahiyo anakuwaja bongo kutafuta nafasi.
Huku Africa anaweza kufanikiwa lakini bado ni probability, kwahiyo ondoeni vitisho vya kusema ni mchezaji HATARI.